KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

1. Mchungaji Dk. Owdenburg Mdegela- Founder wa Tumaini University Iringa
2. Mchungaji Dk. Hance Mwakabana- Founder Tumaini University Dar es salaam
3. Mch. Askofu Kolowa- Founder Makumira University
4. Mchungaji Dk. Samson Mushemba- Founder Lutheran Junior Seminary Morogoro
5. Mchungaji Dk. Stephen Munga- Founder SEKUKO University
6. Professa Hubert Kairuki- Founder & Owner of Mikocheni University & Hospital
8. Mchungaji Dk. Buberwa- Founder of Josia Kibira University
9. Mchungaji Dk. Valentino Mokiwa- Founder Saint John's University
10.Mchungaji Dr.Israel Mwakyolile- Founder Tumaini University- Uyole Mbeya
11..............
12.............
13............
10000000. Sheikh Ponda Issa Ponda- Founder of Violence University- Misikitini
Mchungaji Dkt Yuda Kiwovele - Founder Kidugala Lutheran Seminary-Njombe
Mchg Dkt. Kimilike- Founder Tumaini University-Njombe University College
 
Hali si shwari. Kuna kila dalili kuwa kila Ijumaa tutegemee tukio. Je, misikitini ni mahali pa kupanga mipango kama hiyo? Inaaminika misikitini ni mahali pa kumcha Mungu.
Misikiti ni mahali pa :A S-devil4::hail::argue::smokin::coffee::fencing::target::rockon::shetani:
 
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.
inakuwa vp, unaichomeka chadema hapa. toa ukilaza wako hapa wewe
 
Kwani Kova hajui Ponda anapatikana wapi? Kwani hawakumuona jana wakati anasimamia operation ya kurejesha mali za waislam?
 
Ponda hakamatwi, hii ni danganya toto.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wamkamate watengwe na Dini???

Kama ni wakukamatwa angeishadakwa enzi za Sensa.
 
Jamani naona din zote hiz mbili malengo yao makuu n kupunguza uofu hapa dunian mungu mmoja na mungu hana din
 
Kova bana? Unatoa taarifa ya kumkamata ama unatakiwa umkamate mara moja ndo taarifa ifuate. Unavyotoa hii taarifa kwa uma ili ukusaidie kumkamata ama? Stupid
 
Utakufa peke yako, Ponda atakamatwa na kuachiwa. Atahudhuria mazishi yako, na wajanja watarithi mkeo/mmeo

Mke wake tutampiga dudu... Tena kama vipi wakati mnaenda kuandamana huko tupe na contact zako kabisa
 
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.

nadhani una madhara ya A.R.V feki
 
hapa haamii mtu madina wala maka, hii ni ardhi ya Mungu siyo ya kiumbe yeyote wa kiislamu wala kikristo usitangaze vita mapema kiasi hiki ndugu yangu , hivi kwa fikra zako unadhani chadema ikichukua nchi ndo itasumbua waislamu? yani kwa mtindo huo tutakuwa radhi kufa wewe nyie kama waoga wa kufa endeleeni kuwa waoga ila waislamu hatuogopi kufamana kila nasfi itaonja umauti chadema tunaipenda na tutaipigia kura kwakuwa tunataka mabadiliko ya nchi yetu na siyo mabadiriko ya kunyanyasa waislamu hatutakuba likamwe jirekebishe kaui zako
 
Hivi tayari prof. Lipumba ameshatoka ulaya kuinua sarafu ya EURO ambayo ilishuka thamani?

Msaada wakuu.
 
hapa haamii mtu madina wala maka, hii ni ardhi ya Mungu siyo ya kiumbe yeyote wa kiislamu wala kikristo usitangaze vita mapema kiasi hiki ndugu yangu , hivi kwa fikra zako unadhani chadema ikichukua nchi ndo itasumbua waislamu? yani kwa mtindo huo tutakuwa radhi kufa wewe nyie kama waoga wa kufa endeleeni kuwa waoga ila waislamu hatuogopi kufamana kila nasfi itaonja umauti chadema tunaipenda na tutaipigia kura kwakuwa tunataka mabadiliko ya nchi yetu na siyo mabadiriko ya kunyanyasa waislamu hatutakuba likamwe jirekebishe kaui zako

mkuu mimi sio mwanasiasa wa chauma wala ccm.
 
jiangalie maneno yako kaka/dada inaonekana hujafudwa. mana unaropoka sana
 
Kova tushamzoea kelele nyingi kama debe tupu hana lolote...
 
Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaama Shehe Selaiman Kova amasema Shehe ponda atakamatwa muda wowote kuanzania sasa.
Akiongea na waandishi wa habari Kova amesema Shehe ponda amakuwa akichochea waumini wa dini yake...ameonywa mara kadhaa lakini hajaweza kutii sheria za nchi
Source:Kova

Update:..
Wenye nia njema na uchungu kwa Ta
ifa letu tumepiga sana kelele Serikali na dola kutomchukulia hatua huyu muhalifu wakauchuna, sasa yametokea povu linawatoka. Shiit!!!
 
namshukuru M/Mungu kwa kunipa busara pia nawashukuru wazazi wangu kwa malezi mazuri waliyonipa mana nigekosa busara huyu aliyetamka Stupid ningesha mashamblia Ewe M/mungu walaani wote wanaoudhalilisha uislamu humu JF kaa ulivyo mlaani aliyemdhalilisha Mtume wetu Mohamad S.A.W AMINA .
 
Hapo umesema ndugu yangu, nashukuru sana kwa mawazo yako, hivi tatizo ni shule au kukosa kazi ya kufanya, we unakwenda kwenye kiwanja cha mtu unasema tunakuja kuchukua mali yetu na unaanza kujenga, hivi hawa wanajua sheria za nchi au nini hasa, mbona wakatoliki wamejenga na wanaendelea kujenga kila sehemu ya Tanzania, kwanini nyie hamuweki mipango ya maendeleo?, nachoka sana, ni bora ije sheria ya kila mtu ni lazima afanye kazi
 
Back
Top Bottom