tanira1
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 942
- 159
tatizo tulishakosea pale mwanzo walipoanzisha maandamano bila kibali yakafanikiwa umeshakuwa utaratibu wa kawaida sasa ndugu zetu wa kiislam kudai vitu vidogo vidogo kwa kufanya maandamano hata kama mkosaji ni kichaa au mtoto atutaki kutumia busara hata kidogo maamuzi ya mwembe chai yalikuwa ya busara sasa hawamu hii tumekuwa biased mno na sasa tunaaribu mambo na wanafanya kwa makusudi kwa mfano kudai mahakama ya kiislam kwenye nchi ambayo sio ya kiislam huu ni wehu na uhuni