Kova 'anashiriki' kutorosha Twiga na Madini ya Taifa

Twiga awe upanga hatujamuona mpaka leo au wamemlaza chini, alivyo mlefu
 
Kama imefikia hatua ya kufuga twiga mjini sasa hii ni zaidi ya hatari! Vyombo vyetu vya usalama kimya bize na siasa. Kuna saa unasikia habari mpaka masikio yanawasha.

Inaruhusiwa kufuga wanyama mjini ila kuna taratibu za kufuata.
 
Ndugu zangu,

Kuna maharamia wa ubalozi wa nchi fulani ambao sitautaja kwa sasa. Wana makazi yao Upanga.Watu hawa wanamiliki twiga na madini ndani ya makazi yao.

Ilipogundulika mwenyekiti wa mtaa aliwaita na kuwahoji lakini katika mazungumzo hayo walimuomba wampe milioni 100 ili asitoe habari polisi,mwenyekiti huyo alikataa akampigia simu kamanda Kova na kumpa taarifa.

Kamanda Kova alifika na baadhi ya waandishi wa habari na kupiga picha wale twiga na madini yaliyokuwepo pale.

Cha kushangasha mpaka leo siku zinaenda wiki zinakata naona kimya watuhumiwa hawachukuliwi hatua.

Vyombo vya habari viko kimya sijui kama wale waandishi waliokuwepo walipigwa mkwara au walipewa hela watulie.

Kamanda Kova naye yuko kimya labda naye kapewa asilimia fulani,mwenyekiti kwa sasa naye katulia kabisa labda naye Kova kamshawishi wamepiga pesa.

Nitoe rai kwa chama changu cha demokrasia na maendeleo walifuatilie suala hili kwa umakini ili waiumbue serikali ya CCM na kibaraka wao Kova.

Hii ni taarifa muhimu sana

Kwa jinsi Kova alivyo na nakisi ya uadilifu iliyojionyesha hadharani hasa kumbambikizia kesi yule Mkenya kuwa alimteka Ulimboka huku watuhumiwa halisi wakiwa hawaonekani sipati shida kuamini hili

Hata hivyo uchunguzi wa kina sasa unahitajika inawezekana kuna genge la mafia limeingia kwenye vyombo vya dola kuliko tunavyofikiri
 
tunahitaji majibu yake na yawe ya msingi ni kipi kilichomsukuma na kuzima suala hili muhimu kwa taifa
 
Kova alishafikisha umri wa kustaafu lakini baba mwenye nyumba kamwongezea mkataba bila shaka kwa "kazi maalum" kama hizo.
 
Huyo twiga alisafilishwaje toka porini mpaka Dar bila kuonekana? Ilikuwaje shingo yake haikunasa kwenye nyaya za Tanesco zilizokatiza barabarani?! Twiga akisimama hafichiki, mleta mada piga picha yake kwa kutumia kisimu chako kama shingo inavuka nyumba au fence umwage humu tuone maajabu ya serikali kufumbia macho jambo hili.
 
Unajua unavyo toa maelezo ya we na ukweli halo upanga nani ataweka twiga Ndani ya Nyumba urefu wa twiga Kilauea mtu akipita barabarani atamuona hicho kitu hakiwezekani kabisa
 
kama waliweza kutorosha na kupeleka nje ya nchi,kumuingiza upanga wanashindwa vipi?kwenye ndege alikaaje mpaka mkashindwa kuona?njia zilezile walizotumia ndizo hizohizo zilizotumika
 
Ndugu zangu,

Kuna maharamia wa ubalozi wa nchi fulani ambao sitautaja kwa sasa. Wana makazi yao Upanga.Watu hawa wanamiliki twiga na madini ndani ya makazi yao.

Ilipogundulika mwenyekiti wa mtaa aliwaita na kuwahoji lakini katika mazungumzo hayo walimuomba wampe milioni 100 ili asitoe habari polisi,mwenyekiti huyo alikataa akampigia simu kamanda Kova na kumpa taarifa.

Kamanda Kova alifika na baadhi ya waandishi wa habari na kupiga picha wale twiga na madini yaliyokuwepo pale.

Cha kushangasha mpaka leo siku zinaenda wiki zinakata naona kimya watuhumiwa hawachukuliwi hatua.

Vyombo vya habari viko kimya sijui kama wale waandishi waliokuwepo walipigwa mkwara au walipewa hela watulie.

Kamanda Kova naye yuko kimya labda naye kapewa asilimia fulani,mwenyekiti kwa sasa naye katulia kabisa labda naye Kova kamshawishi wamepiga pesa.

Nitoe rai kwa chama changu cha demokrasia na maendeleo walifuatilie suala hili kwa umakini ili waiumbue serikali ya CCM na kibaraka wao Kova.

Kwa sasa wako busy kuua raia wasio na hatia...............
 
Kwanza Kova hana mamlaka kuingia ubalozi wowote kwa shughuli za ki polisi bila idhini ya Wizara ya Mambo ya nje.

Kumbuka, ukishasema "ubalozi", kile kipande cha ardhi penye ubalozi, hata kama wamekodisha basi ni nchi yao ile.

Hizi habari zingine ni za kusadikika.
 
kwa ìyo anasubiri mpaka itungwe sheria ndo akakamate?
 
Asilimia kubwa ya uhalifu unaofanyika hapa Nchini Kova anaufahamu tena ni mshirika mzuri tu.

Ila sema Jamaa ni bingwa wa kuigiza na kutunga matamko.
 
Mbona Hiyo biashara kova kaanza siku nyingi mi nafahamu tangu akiwa mbeya na ajitokeze kubisha
 
Mungu akulinde sana mkuu , baada ya tukio la mkenya ' aliyemtesa' Dr Ulimboka na ule uzushi wa panyaroad sisikilizi lolote kutoka kwa kova.
 
Kwanza Kova hana mamlaka kuingia ubalozi wowote kwa shughuli za ki polisi bila idhini ya Wizara ya Mambo ya nje.

Kumbuka, ukishasema "ubalozi", kile kipande cha ardhi penye ubalozi, hata kama wamekodisha basi ni nchi yao ile.

Hizi habari zingine ni za kusadikika.

Ni kweli kuna Diplomatic Immunity tena sio Ubalozini tu hata kwenye Meli au Ndege zenye Bendera ya taifa lingine.Kufanya hivyo ni kukiuka sheria za kimataifa hasa mkataba wa Vienna

Lakini pia balozi zinaweza kutumia mwanya huo kuvunja sheria kama Utawala Wa Nigeria ya enzi za Buhari ulivyotumia kinga diplomatic bags kumteka Umar Dikko na kumfungia kwenye sanduku kwa nia ya kumrudisha Nigeria kutoka Uingereza hadi Scotland Yard na majasusi wengine walipowashtukia majasusi wenzao wa MOSSAD kutoka Israel na Nigeria waliosuka mpango huo na kuamua potelea mbali wakafungua lile sanduku

By the way :Kova si aliwahi kujigamba kuwa yupo huku si ajitokeze ajibu sasa au anasoma kwa hasira na kuuma meno tu.Kamanda jitokeze basi .Hii ni nafasi ya Mwisho ya kudhihirisha uwepo wako kwenye kizazi hiki cha digitali.Maana uliongea sana
 
Back
Top Bottom