Anayemtetea Kova namshangaa sana....niishie hapo tu
Ukisikia wananchi wanachukua sheria mikononi ujue huchoshwa na vitu kama hivi. Inafika mahali inakosekana maana ya kutoa taarifa kwenye chombo hiki. Ni kama vile mwanchi mtoa taarifa amepeleka neema ya kuhongwa kwa Kova. Hakuna anayejali!