Kova 'anashiriki' kutorosha Twiga na Madini ya Taifa

Ukisikia wananchi wanachukua sheria mikononi ujue huchoshwa na vitu kama hivi. Inafika mahali inakosekana maana ya kutoa taarifa kwenye chombo hiki. Ni kama vile mwanchi mtoa taarifa amepeleka neema ya kuhongwa kwa Kova. Hakuna anayejali!

nchi imegeuzwa gheto,siku hizi taarifa ya uhalifu ikipelekwa kwenye vyombo vya usalama inageuzwa dili la wakubwa kulamba pesa badala ya kushughulikia,sasa ni wakati wa wananchi kujilinda na kulinda raslimali zao wenyewe jeshi la polisi limeshindwa kufanya kazi yake na kujiingiza kwenye siasa
 
Wewe kama mwananchi unajua swala hilo kiundani kwanini usichukue Nafasi hiyo Kuonyesha uzalendo wako ,nadhani ww ni mtu mzima na unawezo wa kisimamia jambo ...unangoja nini kiwasubiria CHADEMA kuja kuokoa mali za nchi yako . Anza ww ,au hao kina Tundu Lissu ,Mnyika wana Mashine za Ziada kwenye vichwa vyako .

Sidhani kama unashindwa Kulisimamia swala hilo ukianzia na uongozi wa kijiji chako ikiwa ni pamoja na huyo mwenyekiti wako .
 
raslimali za nchi zimegeuzwa shamba la bibi kila anayejisikia kuchukua anachukua,na serikali imekaa kimya,vyombo vya usalama vimekaa kimya
Abdallaee nilikuambia nikakusihi ujiunge na Chama halafu upande cheo uwe Mwanasiasa uingie kwenye Uongozi hukunitii...ona sasa utalalama wee, Nani wa kukusikia?
Shamba la bibi kivipi.... mitazamo ya Viongozi ni vingine kabisa , kwa mitazamo na upeo wa wananchi !!
 
Wewe kama mwananchi unajua swala hilo kiundani kwanini usichukue Nafasi hiyo Kuonyesha uzalendo wako ,nadhani ww ni mtu mzima na unawezo wa kisimamia jambo ...unangoja nini kiwasubiria CHADEMA kuja kuokoa mali za nchi yako . Anza ww ,au hao kina Tundu Lissu ,Mnyika wana Mashine za Ziada kwenye vichwa vyako .

Sidhani kama unashindwa Kulisimamia swala hilo ukianzia na uongozi wa kijiji chako ikiwa ni pamoja na huyo mwenyekiti wako .

mimi si mkazi wa mtaa huo,ninachoshangazwa ni kwanini jeshi la polisi halijachukua hatua mpaka sasa?kuna nini kinaebdelea na wakati kamanda kova alipata taarifa na akaja kujionea hali halisi
 
Namatamani sana Jerry Muro wa kipindi kileeeee ndani ya tbc. Hawa wangekuwa wameshajulikana mpaka wanapokaa, jamaa alikuwa hajali pesa wala nini yeye ni kufichua tu, Tatizo watu wa namna hii hawana maisha marefu duniani. Shetani anawawinda, wahalifu wanawawinda. Yaani ni shida tu

Oky mkuu fanya kuni-pm Mtaa pamoja na namba ya nyumba huko Upanga niwasiliane na mdukuzzi mmoja hapo tuweke kila kitu hadharani.

BACK TANGANYIKA
 
Na ndio maana tunasema watz tunalalamika mno kuliko kutenda .

Ww si mkazi wa mtaa huo ,hivyo unamaanisha swala hilo halikuhusu.

Na kama haikuhusu iweje umeeandika humu , au mnaitumia mitandao ya kijamii kujifurahisha tu na kuonekana umepost kitu . .

Umeshawahi kunyanyua Simu yako ya mkononi kumpigia huyo Kova .

Umeshawahi kufika kwnye kijiji hiko na kuangalia kinachoendelea .

Au umehadisiwa nawe ukakimbilia kupost humu

Mkikamatwa na kufinywa kwa kushutumu watu bila kua na Evidence mnasema jeshi la pilisis linawaaonewa . ! .

Acheni Kuropoka Hovyo , si kila kitu ni cha kuchukulia umaarufu .
 
tayari mkuu
 
tayari mkuu

Na ulete mrejesho hapa ... tunue swala hili ni kweli au huyu mtu atafutwe na Wahusika kujibu tuhuma Hizi za Kimshtumu Kova . ! Na watakupata tu endapo umepotosha ! Maana mmezidi kutukana na kushutumu viongizi wa hii nchi . !
 
Na ndio maana tunasema watz tunalalamika mno kuliko kutenda .

Ww si mkazi wa mtaa huo ,hivyo unamaanisha swala hilo halikuhusu.

Na kama haikuhusu iweje umeeandika humu , au mnaitumia mitandao ya kijamii kujifurahisha tu na kuonekana umepost kitu . .

Umeshawahi kunyanyua Simu yako ya mkononi kumpigia huyo Kova .

Umeshawahi kufika kwnye kijiji hiko na kuangalia kinachoendelea .

Au umehadisiwa nawe ukakimbilia kupost humu

Mkikamatwa na kufinywa kwa kushutumu watu bila kua na Evidence mnasema jeshi la pilisis linawaaonewa . ! .

Acheni Kuropoka Hovyo , si kila kitu ni cha kuchukulia umaarufu .

watanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa,yaani kwenye wizi wa raslimali zetu wenyewe napo tunaingiza ushabiki wa vyama.Inasikitisha sana
 
Twiga wanafugiwa Upanga!? Hivi walivyo wakubwa na warefu si tungeshawaona tokea Kariakoo, Magomeni, Masaki, Sea View, au hata Mjini Kati kutokea maghorofani. Unless uniambie wanafuga ndama.
 
Ndugu zangu,

Kuna maharamia wa ubalozi wa nchi fulani ambao sitautaja kwa sasa. Wana makazi yao Upanga.Watu hawa wanamiliki twiga na madini ndani ya makazi yao.

Ilipogundulika mwenyekiti wa mtaa aliwaita na kuwahoji lakini katika mazungumzo hayo walimuomba wampe milioni 100 ili asitoe habari polisi,mwenyekiti huyo alikataa akampigia simu kamanda Kova na kumpa taarifa.

Kamanda Kova alifika na baadhi ya waandishi wa habari na kupiga picha wale twiga na madini yaliyokuwepo pale.

Cha kushangasha mpaka leo siku zinaenda wiki zinakata naona kimya watuhumiwa hawachukuliwi hatua.

Vyombo vya habari viko kimya sijui kama wale waandishi waliokuwepo walipigwa mkwara au walipewa hela watulie.

Kamanda Kova naye yuko kimya labda naye kapewa asilimia fulani,mwenyekiti kwa sasa naye katulia kabisa labda naye Kova kamshawishi wamepiga pesa.

Nitoe rai kwa chama changu cha demokrasia na maendeleo walifuatilie suala hili kwa umakini ili waiumbue serikali ya CCM na kibaraka wao Kova.
Kutoka Afrika ya Kusini Hadi Kenya............!!! Ukiacha wenzio wanachukua.............
 
Na ndio maana tunasema watz tunalalamika mno kuliko kutenda .

Ww si mkazi wa mtaa huo ,hivyo unamaanisha swala hilo halikuhusu.

Na kama haikuhusu iweje umeeandika humu , au mnaitumia mitandao ya kijamii kujifurahisha tu na kuonekana umepost kitu . .

Umeshawahi kunyanyua Simu yako ya mkononi kumpigia huyo Kova .

Umeshawahi kufika kwnye kijiji hiko na kuangalia kinachoendelea .

Au umehadisiwa nawe ukakimbilia kupost humu

Mkikamatwa na kufinywa kwa kushutumu watu bila kua na Evidence mnasema jeshi la pilisis linawaaonewa . ! .

Acheni Kuropoka Hovyo , si kila kitu ni cha kuchukulia umaarufu .

asisumbuke kunitafuta,sasa hivi niko ubungo naelekea arusha,akitaka kunipata anifuate arusha sekei juu pembeni ya shule ya greenacres ndipo makazi yangu yalipo akifika hapo hatopata shida ya kuulizia sana atanipata kwa haraka tu
 
Ndugu zangu,

Kuna maharamia wa ubalozi wa nchi fulani ambao sitautaja kwa sasa. Wana makazi yao Upanga.Watu hawa wanamiliki twiga na madini ndani ya makazi yao.

Ilipogundulika mwenyekiti wa mtaa aliwaita na kuwahoji lakini katika mazungumzo hayo walimuomba wampe milioni 100 ili asitoe habari polisi,mwenyekiti huyo alikataa akampigia simu kamanda Kova na kumpa taarifa.

Kamanda Kova alifika na baadhi ya waandishi wa habari na kupiga picha wale twiga na madini yaliyokuwepo pale.

Cha kushangasha mpaka leo siku zinaenda wiki zinakata naona kimya watuhumiwa hawachukuliwi hatua.

Vyombo vya habari viko kimya sijui kama wale waandishi waliokuwepo walipigwa mkwara au walipewa hela watulie.

Kamanda Kova naye yuko kimya labda naye kapewa asilimia fulani,mwenyekiti kwa sasa naye katulia kabisa labda naye Kova kamshawishi wamepiga pesa.

Nitoe rai kwa chama changu cha demokrasia na maendeleo walifuatilie suala hili kwa umakini ili waiumbue serikali ya CCM na kibaraka wao Kova.
Asante kwa Tarifa
 
pole yake mwenyekiti wa mtaa. Katoa taarifa halafu mhusika hajachukua hatua. Inavunja san moyo na uzalendo
 
pole yake mwenyekiti wa mtaa. Katoa taarifa halafu mhusika hajachukua hatua. Inavunja san moyo na uzalendo.
 
Labda wamelamba michuzi utajuaje?Pengine ni twiga w sanamu,angalia wataku kombelise
 
Back
Top Bottom