Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

Ndo maana unamchukia shujaa utadhani alikugongea mkeo au alimpa hicho kiburi. Kumbe stress za mke cheiii

Anyway dini inakuruhusu kuoa wake wanne nini kinakuzuia sasa?
 
Funguka ,kivipi?
31 watoto 2 mama tofauti na wote mama zao hawapo wich means nipo single.
kanuni ya kutombembeleza mwanamke imenigharimu sana.
ukiachilia hao nilio zaa nao nimewai kuwa madem kama wa nne hivi, na wote hao kila mmoja wakinizingua nabeba nguo zangu, naacha kila kitu nasepa, naenda anzisha kambi pengine.. nitakaa hapo nitanunua vitu shazi gheto litapendeza mara nitapata mwingine tena, akizingua hivyo hivyo.

sasa vitoto vimekua, aliyekuwa ananisaidia kulea wanangu(sister) ananitaka nirudi home nilee wanangu ili nae apate nafasi ya kufanya mambo yake.
nawaza vile nitadil kulea watoto mimi mwenyewe na housekeeper nahisi kama vile sister ananipa jez wakati mchezo sijauelewa.
 
Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa

Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu

Mke wangu ana kiburi cha asili,gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa tuna watoto watatu

Hakuna kitu anachokosa huyu mwanamke kila kitu namtimizia

Hakuna anachokosa natimiza wajibu wangu kama mume, sijikwezi lakini ukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake walio kwenye ndoa wanaopata kila hitaji bila kusita au kucheleweshewa

Lakini hataki kubadilika ana mambo ya kipumbavu kabisa hapa naandika nikiwa na hasira sana nitamuacha tu nioe mke mwengine kama mke wa pili mpuuzi huyu
if you are offended to this extent, the problem is you.

sorry niko nje ya mada.
 
Ndoa ni muhimu lakini siyo lazima maana si kila lenye umuhimu lina ulazima

Halafu wabongo tungekuwa tunalazimishana kuingia kwenye fursa kama tunavyolazimishana kuingia kwenye ndoa basi tungekuwa mbali sana

Ila bahati mbaya mbongo hata siku moja hawezi kukulazimisha ufanye jambo ambalo litakunufaisha kama/kuliko yeye

Ukiona mbongo anakulazimisha sana kufanya jambo ujue hilo jambo halina faida sana na anataka tu upate matatizo kama aliyoyapata yeye alipolifanya
 
Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa

Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu

Mke wangu ana kiburi cha asili,gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa tuna watoto watatu

Hakuna kitu anachokosa huyu mwanamke kila kitu namtimizia

Hakuna anachokosa natimiza wajibu wangu kama mume, sijikwezi lakini ukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake walio kwenye ndoa wanaopata kila hitaji bila kusita au kucheleweshewa

Lakini hataki kubadilika ana mambo ya kipumbavu kabisa hapa naandika nikiwa na hasira sana nitamuacha tu nioe mke mwengine kama mke wa pili mpuuzi huyu
Pole punguza hasira wanawake wa kizazi hiki kila kona matatizo hayo hayo
 
Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa

Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu

Mke wangu ana kiburi cha asili,gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa tuna watoto watatu

Hakuna kitu anachokosa huyu mwanamke kila kitu namtimizia

Hakuna anachokosa natimiza wajibu wangu kama mume, sijikwezi lakini ukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake walio kwenye ndoa wanaopata kila hitaji bila kusita au kucheleweshewa

Lakini hataki kubadilika ana mambo ya kipumbavu kabisa hapa naandika nikiwa na hasira sana nitamuacha tu nioe mke mwengine kama mke wa pili mpuuzi huyu
Mkuu ukiona mke anakuwa na gubu, kiburi, makasiriko ya hapa na pale, hasira tambua kuwa haumkazi inavyotakiwa aisee.
 
Mkuu ukiona mke anakuwa na gubu, kiburi, makasiriko ya hapa na pale, hasira tambua kuwa haumkazi inavyotakiwa aisee.
Ukute hilo jamaa halitulii nyumbani kila siku kukimbizana na michepuko, kwa nini mke asiwe na kiburi? Linafikri kuacha hela ya mboga na matumizi mengine ndiyo halali ya mke! Kwani kwao alikuwa hali ugali? Ndoa siyo misosi tu dogo jiongeze! Tutakugongea mwisho wa siku!
 
Mie mkuu amani yangu haipo kuwa na mke Bora Bali kuwa na utajiri.
Nimeoa Ila kuoa ama family sio priority kivile kwangu. Mana naona hata nikizaa naleta watt duniani kwenye dunia iliyojaa mihangaiko ya maisha mpaka kero.
Smt huwa sioni purpose ya kuishi. Sawa hela pata afu ni starehe tu nazo utachoka tu najua.
Utakula ,utatembea na kila binti wa kila rangi,utalala kila hotel nzuri unayojua Ila still you won't get satisfaction in life.
Yaani hata uwe na mke sijui Kama malaika Ila sidhani our happiness is being tied to external stuffs Mana huwa inaisha ndani ya mwaka tu.
Mfano ukinunua ndinga ya ndoto yako baada ya muda utaanza kuiona Kama ni kawaida nothing new.
Ukijenga ukaishi kwako baada ya muda unaona hakuna Cha Mana,
Ukiwa na mipesa hata mabilioni utaizunguka dunia yote utachoka Mana ukienda Kama majiji kadhaa baadaye hasahasa utapiga picha Kama show off Kama wewe ni dizaini iyo.
Ila still external things won't fulfill your purpose hapa duniani.
Hii kitu plz Kama Kuna mtaalamu naomba anisaidie.
Tunafuta pesa tukijua tutakua na furaha Ila bado tu ukizipata iyo furaha hutoiona.
Hasahasa utajenga nyumba na ukiwekamo vitu vya anasa huko ndani Ila later am sure utaiona Kama ni kawaida.
Utatembelea kila gari Ila still moyo utarudi utakuambia kuwa you're normal human being.
Ila still tunatafuta vitu tukidhani may be they'll satisfy our internal happiness and peace.
Unajua marginal utility wewe umezungukaka sana ila upo humu kwenye marginal utility, utaipata katika uchumi kasomo vitabu vya uchumi au Google nini maana ya marginal utility

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole, yalinipata mpaka nilichanganyikiwa, nilimpeleka mahakamani, hakimu akamuuliza mke wangu kama bado anahitaji ndoa, eti akasema bado ananitaka, hakimu akamwambia labda anania na kitu kingine ila sio ndoa. Maana hakimu (tena ni mwanamke) alimshangaa mwanamke mwenzake kwa yale anayoyafanya kwenye ndoa, mwishoalitoa hukumu ya kuvunja ndoa. Mpaka nimenenepa aisee, mwanamke anakutesa mpaka uwaza kutenda jinai
Ulimpeleka mahakama ipi mahakama ya mwanzo? na mimi nikamfukuzie wangu huko maana hichi kizazi jeuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtafute MUNGU wa kweli ukimpata utaridhika lahsivyo sahau kuridhika, Duniani tunapita tu imagine Kila kitu utakachotaka Sasa hivi unakipata, Je, unafikiri utakuwa na furaha??? hapana, hii ni kwa sababu utakuwa overstressed kwa ajili utakuwa ukiwaza tu Kuwa kilichobaki ni kifo Jambo ambalo laweza kukunyima raha kabisa.

Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
Yesu baba hapo hujakosea, kuna msemo unasema Yesu ndiyo njia na ukweli sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeshindwa kuvumilia udhaifu wake amini nakuambia utaoa kila mwaka na ipo siku utatamani umrudie hakuna mwanadamu asiye na kasoro, utakaye muoa atakuwa hana kiburi ila ni mzinzi, utamwacha utaoa mwingine asiye na kiburi Wala uzinzi ila ni mchoyo na mchafu, utamwacha utaoa mwingine hadi utakufa una msururu
Kwa hiyo kama avumiliki unataka avumilie kwani amekuwa mama yake? Nyie ndiyo mliyofungwa na madawa/malimbwata!
 
Back
Top Bottom