Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa.

Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu. Mke wangu ana kiburi cha asili, gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa tuna watoto watatu.

Hakuna anachokosa natimiza wajibu wangu kama mume, sijikwezi lakini ukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake walio kwenye ndoa wanaopata kila hitaji bila kusita au kucheleweshewa.

Lakini hataki kubadilika ana mambo ya kipumbavu kabisa hapa naandika nikiwa na hasira sana nitamuacha tu nioe mke mwingine kama mke wa pili.
Ukimwacha usioe tena ni yaleyale tu wanatofautiana kidogo sanaaaa
 
Mm nilipiga chini faster.
Aliaga anakwenda kwao. Alipotaka kurudi akajikuta anapigwa stop asisome karibu. Kaja akachukua makorokoro yake ameondoka.
Akili zake ndogo mpuuzi yule
Nishafukuza mda tu sahivi yupo kwao huko
 
Mchaga.....Mimi nashangaa sana unajua wachaga hawanaga gubu wala kiburi kabisa huyu ni sample ya tofauti kabisa
Huyo mwanamke wako ni mental case. Hayo sio mapungufu bali ni ukichaa uliotukuka. Kuna watu wameoa vichaa kabisa ila ni kwa vile hawaoneshi vimbwanga hadharani ni ngumu kuwatambua hadi uishi nao kama kuvunja vunja vitu ni tabia za kichaa kabisa.
 
Natumaini wote wanzima..
Anayeumwa ishara MUNGU atamponya.

Imeandikwa Mangi shangali
Arusha,tanzania.

Kama kichwa kinavyojieleza::....
Kosea vyote maishani ila usikosee kuoa(kuolewa)..
Kosea nyumba unaweza kubomoa.
Kosea njia utaelekwezwa.

Makovu utakayo yapata kwa kukoseq kuoa au kuolewa hayatakuathiri wewe pekee yako mpaka jamii inayokuzunguka.

Majeraha utakayo yapata kwa kukosea kuoa au kuolewa hayapimiki kamwe.

Hivyo kuwa makini unapotaka kuoa au kuolewa maana madhara yake makubwa mnoo.

Bila shaka wewe mwenyewe ni shuhuda katika familia au jamii unayotokea.
Kuna watu unawajua au ulishawahi kuwaona na kuwasikia yaliyowatokea kwenye ndoa na mahusiano yao.
Kuna waliopata majanga ya:
Kifo
Ukilema
Kuachana
Kupigana
Kudharishana n.k
Kila siku tunasikia kwenye redio ndoa nyingi zinavunjika,wana ndoa wanauwana ,watoto wa mitaani wengi wamejaa mtaani kisa kukosea kuoa au kuolewa.

Maisha ni mafupi sana,ni nyema kuyathamini maisha uliyopewa duniani.
Nakarabisha mchango wenu.
 
chukua asali na sukar chukua karatasi andika jina la mume ama mkeo hiv
mm nataka unipende unijali unifurahishe kwenye shida na raha mpaka kufa chukua sukari na asali fungasha ndan nenda kwenye godoro unalolalaa pasua katikati pembeni weka kwa ndani hio karatasi kila ukiamka asbh kama ni mume ama mke ukiwa pekeyako chukua mkojo wa kwanza asbh kabla ujala ama kunywa kitu nawa mikono sema wewe shetwani nakuondoa mwilini mwangu nataka kama n mke unamtaja mumeo anipende anijali kwa siku saba

nipe mrejesho mkojo uwe wa kutosha kunawa mikono yote
 
chukua asali na sukar chukua karatasi andika jina la mume ama mkeo hiv
mm nataka unipende unijali unifurahishe kwenye shida na raha mpaka kufa chukua sukari na asali fungasha ndan nenda kwenye godoro unalolalaa pasua katikati pembeni weka kwa ndani hio karatasi kila ukiamka asbh kama ni mume ama mke ukiwa pekeyako chukua mkojo wa kwanza asbh kabla ujala ama kunywa kitu nawa mikono sema wewe shetwani nakuondoa mwilini mwangu nataka kama n mke unamtaja mumeo anipende anijali kwa siku saba

nipe mrejesho mkojo uwe wa kutosha kunawa mikono yote
Kunawa mkojo ni kila siku?
 
Kunawa mkojo ni kila siku?
SIKU SABA MKUU KAMA WE N MKE AKIKISHA UKINAWA MUME AYUPO NDAN UNAUNENA KAMA N VVS
NIPE MREJESHO...NAJUA MAUMIVU YAKE MKUU SI WENGINE TUKO KWENYE HESABU YA WAKIMBIZI WA KIIVTA ZA NDOA MAANA TULIKOSA UVUMILIVU TUKAJARIBU TENA KIDOOOOGO KUNAENDEKA AL HAMDULILLAH
 
Hili ni suala la mindset tu. Ukitengezea radar Yako fresh na mtandao wako ukawa unasoma vizuri....hakuna kitakachoshindikana.

Note: Ukiingia katika Ndoa, fanya vyote lakini usithubutu kuacha kuweka Ulinzi na Usalama kwenye dish lako
 
Back
Top Bottom