Kosa ninalojutia maishani mwangu!

Kosa ninalojutia maishani mwangu!

#Majanga

Katika kosa ambalo linajutia maishani mwangu ni kutumia $25,000/= sawa na Tshs 40,700,000/= kuhonga/kununulia mademu kwa muda miaka 4 yaani toka mwaka 2009 mpaka sasa, najitahidi sana nipone huu ugonjwa lakini naona bado unanisumbua.

Nisaidieni ushauri.

mmmh! kama unajitangaza vile kwamba wewe unazo na unajua kuhonga! sawa mkuu utapata PM za watafuta ngawira maana watu mna penetration strategies mbali mbali.
 
POLE SANA, CHA MSINGI FANYA TOBA & mwombe mungu akuongoze katika mabadiliko.MUNGU AKUBARIKI.
 
#Majanga

Katika kosa ambalo linajutia maishani mwangu ni kutumia $25,000/= sawa na Tshs 40,700,000/= kuhonga/kununulia mademu kwa muda miaka 4 yaani toka mwaka 2009 mpaka sasa, najitahidi sana nipone huu ugonjwa lakini naona bado unanisumbua.

Nisaidieni ushauri.
How did you arrived on the figure brother?Mkokotoa wako utawasaidia wengi hasa akifanya cummulative expenditure analysis kwa warembo kuanzia outing,airtime,shopping,birthday ceremonies,suprising gifts, vacations ,picnic etc.
Huo mzigo wa miaka minne ($25,000/4years=$6250 per year/12months=$520.83 per month/28days =$18.64/4hours you spent strongly with them=$4.65 per hour.

Na bado mimba ulizotoa gharama zake hujaweka..hahahahahahahah kwa miaka hiyo yote ungekuwa na mtoto tu na usingejuta
 
Kosa la kuhonga mademu ndio kosa haswa. Pole sana ila mbona ulikuwa unahonga kidogo? Yani TZS 28,000 tu kwa siku? Kaza mwendo mkuu bado kabisa kuna MAGURU wakitoa hesabu zao hapa itakuwa balaa
 
"Kula uliwe" - Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na soon Comoros.
 
Wewe ndo mwanaume bana, nitakutafuta, sio kina asprin gharama ni kukunywesha bia tu akha, nitakusakanya popote ulipo majanga
#Majanga

Katika kosa ambalo linajutia maishani mwangu ni kutumia $25,000/= sawa
na Tshs 40,700,000/= kuhonga/kununulia mademu kwa muda miaka 4 yaani
toka mwaka 2009 mpaka sasa, najitahidi sana nipone huu ugonjwa lakini
naona bado unanisumbua.

Nisaidieni ushauri.
 
Tatizo ni kwamba already u are initiated to satan network, what u need is deliverance utajishangaa hayo mambo ulokuwa unafanya na kujutia muda wako
 
#Majanga

Katika kosa ambalo linajutia maishani mwangu ni kutumia $25,000/= sawa na Tshs 40,700,000/= kuhonga/kununulia mademu kwa muda miaka 4 yaani toka mwaka 2009 mpaka sasa, najitahidi sana nipone huu ugonjwa lakini naona bado unanisumbua.

Nisaidieni ushauri.

Kwani hao mademu baada ya kuwalipa huwa wote wanakukimbia yaani hupati kile kilichofanya uwahonge? Kama unapata kwa nini ujilaumu kwa chakula ambacho umekula? Hayo ndo maisha. Pengine ungeshakufa kwa presha kama si hao mademu kukupoza moyo!!
 
Wacha wewe ujinga hiyo pesa gani unajigamba nayo miaka yote hiyo hujakutana na wachunaji ungeuza mpaka pk.
 
Wacha wewe ujinga hiyo pesa gani unajigamba nayo miaka yote hiyo hujakutana na wachunaji ungeuza mpaka pk. I
 
mmmh! kama unajitangaza vile kwamba wewe unazo na unajua kuhonga! sawa mkuu utapata PM za watafuta ngawira maana watu mna penetration strategies mbali mbali.

Sitafuti wa kwenye mtandao kuna watoto wa chuo simple kweli na watamu balaa
 
Wacha wewe ujinga hiyo pesa gani unajigamba nayo miaka yote hiyo hujakutana na wachunaji ungeuza mpaka pk. I

Wewe ndo mjinga umesoma uchumi wewe? pesa kubwa ni Tshs 1.0/= sasa unadharau nini? hiyo feagure imezidi hapo?
 
Kwani hao mademu baada ya kuwalipa huwa wote wanakukimbia yaani hupati kile kilichofanya uwahonge? Kama unapata kwa nini ujilaumu kwa chakula ambacho umekula? Hayo ndo maisha. Pengine ungeshakufa kwa presha kama si hao mademu kukupoza moyo!!

Sina saivi walishapotea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom