Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,050
- Thread starter
- #41
Wewe ndo mwanaume bana, nitakutafuta, sio kina asprin gharama ni kukunywesha bia tu akha, nitakusakanya popote ulipo majanga
Sitaki wanawake saivi
Wewe ndo mwanaume bana, nitakutafuta, sio kina asprin gharama ni kukunywesha bia tu akha, nitakusakanya popote ulipo majanga
How did you arrived on the figure brother?Mkokotoa wako utawasaidia wengi hasa akifanya cummulative expenditure analysis kwa warembo kuanzia outing,airtime,shopping,birthday ceremonies,suprising gifts, vacations ,picnic etc.
Huo mzigo wa miaka minne ($25,000/4years=$6250 per year/12months=$520.83 per month/28days =$18.64/4hours you spent strongly with them=$4.65 per hour.
Na bado mimba ulizotoa gharama zake hujaweka..hahahahahahahah kwa miaka hiyo yote ungekuwa na mtoto tu na usingejuta
Mimi nimemark number mademu wote niliolala nao. Hakuna demu hata mmoja nililala naye sikumpa pesa. Na kila siku niliyotoka na demu nilitoka na pesa maalum ambayo ni mpaka yote iishe, so nilichofanya ni kuzidisha idadi na mademu mara pesa.
mmh umelala na mademu wangapi mpaka sasa!!!!!!
maana hiyo figure lol
Hii ni siri yangu, sitamwambia mwanamke yeyote yule au mtu yeyote yule duniani.
Atakukumbuka sana...@Aggregatesmbona ndogo sana kwa miaka 4 mi kuna mtu alinilipia ada ya chuo kwa miaka mitatu,hela ya matumizi kwa miaka mitatu na mashoping yote akicmamia yy mimi pk angu ilomcost km million 40 na still nikamtosa apo cjui wenzangu walikula sh ngapi
Ha ha ha ha, let's chase this moni
Maana sijawahi shika madolari tangu nizaliwe
Kwan Kuhonga Ufahar Enhee?sa C Bora Hyo Pesa Ungesaidia Yatima! Kuliko Kununua Moto Wa Jahannam