Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,276
- 87,094
Hamna mmoja alishafanikiwa nimeona kwenye VAR 😹😹Dah😁😁 wote walikuwa kwenye process hakuna aliyefanikiwa

Macho yako yana makengeza😁😁Hamna mmoja alishafanikiwa nimeona kwenye VAR 😹😹
Mzunguko wangu naujua ni wa siku 28Ila kuna wanawake viazi kwa kweli?? Wewe unajua hata mzunguko wako kweli Mbona unaonekana mjinga sana🚮
Ndiyo umepigia na mstari kabisa, sawa[FONT=georgia][SIZE=5]Tumeelewa unapenda wababa[/SIZE][/FONT]
Ndiyo nini hizo tena🙄Hata sijaelewa mie, sijui ni hangover au laah.
Nweiii kula duduz kwa raha zako.
Ni DuduzNdiyo nini hizo tena🙄
Ni vyakula vinaitwa hivyo?Ni Duduz
Nitakupata tuSiku moja baada ya kutoka kibaruani, kuna mtu aliniita Bar ya hapo jirani na ofisini kwetu nikaenda hapo tukawa tumekaa nikaagiza chakula nikawa nakula, kuna ndugu yangu akaniambia anakuja kwahiyo nikamwambia apitie hapo kama vipi tuondoke wote, sasa mimi nikawa napiga stori na huyo mbaba.
Nikamaliza kula akaniambia niagize kinywaji nikamwambia sijisikii kunywa pombe kwani huwa zinanisumbua naamka kichwa kizito akaniagizia sijui ni Whisky ile inaitwa Black and White sasa mambo hayo mimi sijazoea nilichanganya na soda nikashindwa kuinywa naiona kali ikabidi niagize tu juisi ya matunda.
Sasa yule ndugu yangu akaja ni wakike so tukawa tupo watatu hapo kwenye meza yetu mimi yule mbaba na huyo ndugu yangu, sasa kuna mbaba mwingine alikuwa yupo kwenye process za kunitongoza nilishamwambiaga huyu ndugu yangu alikuwa anamjua, sasa ndugu yangu alivyofika pale akawa ameniambia mbona fulani nimemuona hapo nyuma yetu na yupo na mdada eeeh! Nikashtuka ikabidi nigeuke kuangalia kweli.
Amekaa na msichana mrembo mweupe, nikatoka nikaenda chooni yule mbaba aliyekuwa amekaa na msichana hapo nyuma akanifata eti umekuja kufanyaje mbona hujaniambia kama unakuja na yule umekaa nae nani, heeeh yaani yeye kajisahau kama yupo na mwanamke mwingine pale, nikamwambia meseji zangu huwa hujibu ndiyo maana sijakwambia na yule ni rafiki yetu tunafahamiana naye. Nikamuuliza na yeye yule aliye naye pale ni nani akajifanya hamjui yupo mwenyewe ila wanaume 😁😁🙌
Mimi nikarudi zangu kukaa nilipokaa mwanzo, huyu mbaba akaja pale akajifanya anasalimia akawa kaingiwa na wasiwasi hadi unamuona kabisa akarudi kwenye meza yake akawa hamsogelei kabisa yule msichana sasa sijui alienda wapi huyo msichana akawa anaongea na wahudumu hadi wanacheka wanagonga na mikono mara akarudi akamuitia usafiri yule mdada akaondoka na yeye akaenda nje kuongea na simu, na mimi na ndugu yangu tukaondoka.
Nilichoshukuru Mungu ni kwamba nimemjua mapema kabla sijampa kwahiyo hakuambulia kitu kabisa.
Ikumbukwe yule mbaba ambaye nilikaa nae mwanzo hakuwa mtu wangu alikuwa ananiitaga tu akiwa anataka kampani na unaweza kukaa nae hata akitokea mtu akaja hapo hawezi kujua kama mpo pamoja nilipata taarifa zake baadae kuwa ni mtu wa mademu sana ndiyo maana anafanya hivyo.
Kivipi mkuu?Nitakupata tu
Napenda madem sawa na wewe pia nitakupataKivipi mkuu?
Unajua mimi nikoje jamani?Napenda madem sawa na wewe pia nitakupata
Hakika mkuuTangazo Tangazo Tangazo.
KAZI ni kipimo cha utu
Ni chakula kitamu sana. Uliza uambiwe.Ni vyakula vinaitwa hivyo?
Kuna rafiki yangu alinisimulia hivi.Siku moja baada ya kutoka kibaruani, kuna mtu aliniita Bar ya hapo jirani na ofisini kwetu nikaenda hapo tukawa tumekaa nikaagiza chakula nikawa nakula, kuna ndugu yangu akaniambia anakuja kwahiyo nikamwambia apitie hapo kama vipi tuondoke wote, sasa mimi nikawa napiga stori na huyo mbaba.
Nikamaliza kula akaniambia niagize kinywaji nikamwambia sijisikii kunywa pombe kwani huwa zinanisumbua naamka kichwa kizito akaniagizia sijui ni Whisky ile inaitwa Black and White sasa mambo hayo mimi sijazoea nilichanganya na soda nikashindwa kuinywa naiona kali ikabidi niagize tu juisi ya matunda.
Sasa yule ndugu yangu akaja ni wakike so tukawa tupo watatu hapo kwenye meza yetu mimi yule mbaba na huyo ndugu yangu, sasa kuna mbaba mwingine alikuwa yupo kwenye process za kunitongoza nilishamwambiaga huyu ndugu yangu alikuwa anamjua, sasa ndugu yangu alivyofika pale akawa ameniambia mbona fulani nimemuona hapo nyuma yetu na yupo na mdada eeeh! Nikashtuka ikabidi nigeuke kuangalia kweli.
Amekaa na msichana mrembo mweupe, nikatoka nikaenda chooni yule mbaba aliyekuwa amekaa na msichana hapo nyuma akanifata eti umekuja kufanyaje mbona hujaniambia kama unakuja na yule umekaa nae nani, heeeh yaani yeye kajisahau kama yupo na mwanamke mwingine pale, nikamwambia meseji zangu huwa hujibu ndiyo maana sijakwambia na yule ni rafiki yetu tunafahamiana naye. Nikamuuliza na yeye yule aliye naye pale ni nani akajifanya hamjui yupo mwenyewe ila wanaume 😁😁🙌
Mimi nikarudi zangu kukaa nilipokaa mwanzo, huyu mbaba akaja pale akajifanya anasalimia akawa kaingiwa na wasiwasi hadi unamuona kabisa akarudi kwenye meza yake akawa hamsogelei kabisa yule msichana sasa sijui alienda wapi huyo msichana akawa anaongea na wahudumu hadi wanacheka wanagonga na mikono mara akarudi akamuitia usafiri yule mdada akaondoka na yeye akaenda nje kuongea na simu, na mimi na ndugu yangu tukaondoka.
Nilichoshukuru Mungu ni kwamba nimemjua mapema kabla sijampa kwahiyo hakuambulia kitu kabisa.
Ikumbukwe yule mbaba ambaye nilikaa nae mwanzo hakuwa mtu wangu alikuwa ananiitaga tu akiwa anataka kampani na unaweza kukaa nae hata akitokea mtu akaja hapo hawezi kujua kama mpo pamoja nilipata taarifa zake baadae kuwa ni mtu wa mademu sana ndiyo maana anafanya hivyo.
Ili mtu aitwe mubaba anatakiwa awe na miaka kuanzia mingapi?Sasa ndiyo atuchanganye changanye hivyo, kwanza nilishukuru nimepata sababu ya kumkataa maana nilikuwa simuelewi