Kosa lilikuwa la nani hapa?

Kosa lilikuwa la nani hapa?

yule mbaba ambaye nilikaa nae mwanzo hakuwa mtu wangu alikuwa ananiitaga tu akiwa anataka kampani
Una miaka mingapi Binti Sayuni? Tuwaambie mara ngapi kwamba hakuna cha bure hapa duniani na hakuna urafiki wa hivi hivi tu kati ya mwanamke na mwanaume? Eti alikuwa anakuitaga tu anapotaka kampani haloooo!
 
Ungeweza kusababisha vita vya tatu vya wambaba wawili + wa mama watatu.
Punguza Dana Dana , tulia
 
Back
Top Bottom