Kosa lilikuwa la nani hapa?

Kosa lilikuwa la nani hapa?

Huyo mbaba ni bwana ako usitufanye watoto hapa.!! 😹😹😹
Kwanini alipokuuliza hukumpa taarifa za wewe kutoka ulimjibu huwa harespond msg zako?

Wewe unataka kuwapambanisha wababa wa watu wapigane sukari zipande waache wake zao wajane..!! 🤣
 
Dah😁😁 wote walikuwa kwenye process hakuna aliyefanikiwa
 
Back
Top Bottom