Kosa lilikuwa la nani hapa?

Kosa lilikuwa la nani hapa?

Kuna rafiki yangu alinisimulia hivi.

Alikutana na mchepuko wake Lodge. Kila mchepuko akiwa anatoka kuchepuka. Mchepuko wa kiume (rafiki yangu) anatoka ndani na mwanamke, na mchepuko wa kike unatoka ndani na mwanaume. Hapo wote wamemaliza kutumika.

Mchepuko mwanaume akausalimia mchepuko wake, Mambo vipi? Mchepuko wa kike haukuitikia badala yake ulimzushia varangati mchepuko wa kiume inakuwaje anatoka na mwanamke mwimgine ilihali yeye yupo. Kuona hivyo yule mwanaume na mwanamke michepuko ya michepuko wakala kona. Mchepuko wa kike alimshushia maneno mbofumbofu huyo rafiki yangu, yeye kwa hekima akaamua kukaa kimya ila kuanzia siku hiyo alimwacha hata hajamtafuta wala kupokea simu zake sembuse sms kujibu. Ukawa mwisho.

Wanawake sometimes wanazijua wao akili zao.

Sasa wewe Binti sayuni03 unaona kabisa jamaa ana demu na wewe ulishamkataa halafu unamuuliza huyo nani? Shida ni nini? Nini kilikuwa kinakukereketa
Nilikuwa bado sijamkataa alikuwa yupo kwenye process kuna vitu nilikuwa nasubiri anifanyie kwanza ndiyo tuanze mahusiano
 
Life lipo speed sana mazee nchi inaelekea kua na wananchi vichaa wengi zaidi, hivi hata wewe ukisoma unaelewa kweli?
 
Back
Top Bottom