Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,812
Komaa nae achana na pombe za wababa utaliwa kimasikharaKijana
Komaa nae achana na pombe za wababa utaliwa kimasikharaKijana
Lipo linjemba moja humu linakuimbia pambio zote. Ulikutana nalo?Sawa mkuu
kwanini utuletee mambo ya kitambo tujadili, saizi umeolewa?Hii kitambo mkuu sasa hivi sitokagi
Ina maana hamjamjua tu huyu mtu. Inasemekan Mwaka jana alikuwa na threads nyingi mwishowe watu wakaruka nae. Kiungo mmoja hatari sana enzi zqke.Nyuzi zake kadhaa ana swagg hiz halaf anaruka ruka kuliwa vyake. We ngoja tu
kumbe mubaba ni mume wa mtu? Binti sayuni yuko mbio sanaMubaba ni mume wa mtu Binti Sayuni, tafuta msaidizi wa kufanana nae.
Binti Sayuni usiyachochee mapenzi hata yatakapoona vyema.
ooh halafu ataanza kutafuta mwanamume mwenye hofu ya Mungu wakati viungo vimeshalegeaIna maana hamjamjua tu huyu mtu. Inasemekan Mwaka jana alikuwa na threads nyingi mwishowe watu wakaruka nae. Kiungo mmoja hatari sana enzi zqke.
Ndio nawaza, nikigombea si utakuwa unachepuka!Kwahiyo unataka kugombea?
Sijamsoma badoIna maana hamjamjua tu huyu mtu. Inasemekan Mwaka jana alikuwa na threads nyingi mwishowe watu wakaruka nae. Kiungo mmoja hatari sana enzi zqke.
Code iko wazi sanaSijamsoma bado
Sio Linjemba na Wewe,sema Njemba!Li
Lipo linjemba moja humu linakuimbia pambio zote. Ulikutana nalo?
Hahahaa. Lol.Hautaki abaya la laki 2 na safari za ndege Dubai 😎
Ahahaaa...! Kwa hiyo ni kanjemba?Sio Linjemba na Wewe,sema Njemba!
Nitamjua tu, au yule bint wa arusha??Code iko wazi sana
Njemba.Ahahaaa...! Kwa hiyo ni kanjemba?
Akhuuuu😁Ndio nawaza, nikigombea si utakuwa unachepuka!
Kweli mkuu sema yeye alizidishaWote mna makosa.