T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,937
- 30,099
MmmmmmNilichoshukuru Mungu ni kwamba nimemjua mapema kabla sijampa kwahiyo hakuambulia kitu kabisa.
MmmmmmNilichoshukuru Mungu ni kwamba nimemjua mapema kabla sijampa kwahiyo hakuambulia kitu kabisa.
Wewe mbunge😁😁Sawa ni mingi,karibu Dodoma!
Huamini😁😁Mmmmmm
Vizuri,usile kileo,Usije kulalia mtoto wetu mchumba wangu!Si ndiyo maana nikakataa mkuu
Ulitaka kumpa bhana sema tu umegundua mapema kuwa ni mtu wa mademu😅Akhuuu sikutaka kumpa jamani😁😁😁
Wewe mbunge😁😁
😁😁😁akhuu nilikuwa simuelewi nisingempa kabisaUlitaka kumpa bhana sema tu umegundua mapema kuwa ni mtu wa mademu😅
Ndiyo anakuwaje huyo?Raia mkakamavu!
Hautaki abaya la laki 2 na safari za ndege Dubai 😎😁😁😁kwanini upewe wewe
Sasa hivi niko bize na kanisani mkuu😁😁Na mimi nikihitaji kampani nakupataje? Mimi pia ni mbaba.
Haugobi ubunge Wala Wabunge,hata kugombea anaweza!Ndiyo anakuwaje huyo?
😁😁mh! Naogopa vya watuHautaki abaya la laki 2 na safari za ndege Dubai 😎
Unaziangalia mbingu!Sasa hivi niko bize na kanisani mkuu😁😁
Huyu mtu kupenda penda kununuliwa chakula kutakuja kumponza tu, wala siku si nyingiakii' Binti Sayuni, kwahiyo maskiini ulitaka kumpea hadi mubaba..?😂🤭
Usiogope upo na tajiri wa kigamboni hapa😁😁mh! Naogopa vya watu
Sitaki nataka wewe😅😁😁😁akhuu nilikuwa simuelewi nisingempa kabisa
Kwahiyo unataka kugombea?H
Haugobi ubunge Wala Wabunge,hata kugombea anaweza!