thanks bhana ur comment is so gangster
![]()
kuna siku miss neddy aliniuliza.hahahahaaa shida ni je mtoto anamind hizi swaga?
we mpare hiyo ni projekta sio taa....
kuna darrasa muhimbili liko hivii. baada ya kuleta AC pangaboy hazina kazi.
halafu wwhahahaha kule same hamna hii
kuna siku miss neddy aliniuliza.
Viol una hela?
nikampa mistari hiii
''hela ni uovu,ila hata mbwa akiona anabweka,
hela inatega hata niwe karatu naonekana califonia,
hela inanisaidia nifanye vitu ambavyo sijawahi kufanya mwanzoni'
hela innifanya nikiongea pumba nipendwe,
demu anaweza akajifanya amekununia na kuzima simu,
ataiwasha simu atafanyanje kama hana credit
halafu ww
halafu ww
huyo mpwa wangu sometimes ana vijamambo
naomba ufunge tu hata macho kama usingizi hamna
Usiku mwema jama.
nguzo ya taa imefungwa ndani na mzunguko wa feni
c.c miss neddyHilo limepita kwa mikono yote sasa mengine niachie mimi