Kama unadhani kuwananga wana mtandao wanaoifilisi nchi wakipindisha ela za matibabu(afya), elimu, ujenzi wa miundombinu na kujimilikisha migodi ambayo ingeinua watanzania ni kuiongelea CCM basi huna AKILI. Hivi huwa mnasoma mnayoandika na kutafakari au mnakurupuka tu!!?..
Swali moja tu:, akitaja waliotaka kumuua Lissu ndio atakuwa anaongelea mambo ya kitaifa!?..,
Waliotaka kumuua Lissu na wanaoiba makaa ya mawe ambayo pesa zake zingeweza kujenga hospitali kila kata au zahanati kila kata kipi kinahusiana na wananchi!?.., mfano akwambie aliyetaka kumuua Lissu ni Mafwele na Makonda inamsaidia nini mwananchi anayeishi Mtwara, Songwe, Katavi etc. Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri (Thinking Capacity). Kwa akili yako hiyo huwezi kumuelewa Polepole.