Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

ccm ukiteuliwa unakuwa huna kiapo

Alikuwa balozi unataka aseme yapi ya serikali ukijua anakiapo
 
kwa maslahi ya pole pole lakini siyo ya watanzania mana pale akiitwa akapewa kitita anakana yote anayoyaonge kama alivyokana ile kauli kwamba kukiwepo tume huru ya uchaguzi basi ccm haipo
Mimi naangalia lililopo mezani, hiyo akipewa kitita atakana ni assumption huwezi kuwa na uhakika wa yajayo. Unajua mshahara na marupurupu ya balozi wa Tanzania nchi nyingine!?,unajua nafasi aliyonayo balozi kwenye uwekezaji na michongo ya kuingiza pesa??.., huyo kaacha yote hayo kwa kujiuzuru ubalozi, halafu kujiuzuru unadhani anatafuta apewe kitita!? na nani!?, kama una elimu jaribu kuitumia kufikiri vizuri.
 
Back
Top Bottom