Hili Suala linahitaji akili ndogo tu: tuchukulie huu mfano,
Ndoa 1:
> Mwanaume (30 yrs) , mwanamke (28yrs) , mwanamke SIO bikra ,alishatembea na wanaume wengine 2 (minimum) kabla ya mumewe.
Ndoa 2:
>Mwanaume (30yrs), mwanamke (28yrs), mwanamke BIKRA ,hajawai kutembea na mwanaume mwingine yoyote kabla ya mumewe
Conclusion: Huwezi kufananisha hizi ndoa bana...hazifanani..lets be realistic, mwanaume kwenye ndoa ya 2 atajiamini zaidi..atakua mwenye furaha zaidi kwa mkewe, atakua na pride zaidi kwa mkewe etc... umemkuta mkeo 28yrs kajitunza..unataka kulinganisha na mtu aloanza sex kwenye 19yrs..ni kukosa akili timamu..