Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,875
- 2,201
- Thread starter
- #121
Sasa ni vita kati ya waliolewa na bikra na ambao waliolewa na mabwawa yao
tumeshinda hawa wote wameooa wake wasio wao wana hasira hao
Sasa ni vita kati ya waliolewa na bikra na ambao waliolewa na mabwawa yao
Hili Suala linahitaji akili ndogo tu: tuchukulie huu mfano,
Ndoa 1:
> Mwanaume (30 yrs) , mwanamke (28yrs) , mwanamke SIO bikra ,alishatembea na wanaume wengine 2 (minimum) kabla ya mumewe.
Ndoa 2:
>Mwanaume (30yrs), mwanamke (28yrs), mwanamke BIKRA ,hajawai kutembea na mwanaume mwingine yoyote kabla ya mumewe
Conclusion: Huwezi kufananisha hizi ndoa bana...hazifanani..lets be realistic, mwanaume kwenye ndoa ya 2 atajiamini zaidi..atakua mwenye furaha zaidi kwa mkewe, atakua na pride zaidi kwa mkewe etc... umemkuta mkeo 28yrs kajitunza..unataka kulinganisha na mtu aloanza sex kwenye 19yrs..ni kukosa akili timamu..
tumeshinda hawa wote wameooa wake wasio wao wana hasira hao
Kweli Mkuu, lakini pia Maandiko yameruhusu ndoa baada ya kifo cha mmoja wao. Sasa hiyo dhana ya ubikra hapo inasimamaje? Na je ndoa hiyo haiwezi kudumu/kukosa heshima?Labda nikuulize mkuu;hivi kila mtu leo duniani itolewe amri arudi kwa mwanaume/mwanamke wake wa kwanza alie mbikiri itakuaje?????ww aliyekubikiri utamkuta????au nayy atakua kaenda kumfata aliembikiri!???
Concept yangu ni kwamba,.kama hayo unayoyasema ili yaepukike hakuna budi mume na mke wote kuwa mabikira,usiseme tuu oooh wanaume tuoe wanawake tulio wabikiri je,kwa wale waliobikiri zaidi ya mwanamke mmoja awaoe wote???
Kina msemakweli,kubari kataa,lakini ukweli utabaki pale pale.Hapa naona lipo swara la kuchapiwa. Sawa na bikra huenda kwa badae atakuja kujifunza vijitabia hivyo,lakini ebu jiulize.Mwanamke anapokwambia"Sijalidhika" si ina maana kuna badhi ya sehemu kashapita? Sasa anajaribu kulinganisha mziki wako na wa furani. Sasa bikra atakulinganisha na nani ambaye hajawahi kukutana nae? Sasa unaesema eti wangerudi kutafuta waliobikiri,walibakwa? Si wakikaa vibaya wanachunguliwa! Labda ungetoa maelezo ya nini kifanyike kulinda bikra zao. Na kwa dunia ya sasa,kweli zitatunzwa?! Huku anatamani smartphone,gari zuri,Ipad na mengineyo. Na wenye uwezo huo wanawapa zaidi ya 100.Kama tamaa ya vitu iliyopo kwa sasa isingekuwepo na bikra zingekuwa nyingi. Ila kiukweli kuchaluka kwa mwanamke bikra ni tofauti na aliyekwishazoea.Kila mwanaume hamlidishi
Shauri yako, na ameshajua huo ndio udhaifu wako sasa anautumia kama fimbo kukunyamazisha huku akiendeleza libeneke nje. Jipange na uchunguze zaidiwalete hoja zao wengi wao WANAUMIA wakubaliane na ukweli tu bikra ina raha yake katika ndoa MIMI MKE WANGU NIKIMTILIA SHAKA KIDOGO KUNIAMINISHA NI RAHISI SANA MAANA LAZIMA NIJIULIZE KAMA KAWEZA KUJITUNZA MIAKA 23 BILA KUGONGWA IWEJE HII PIA changamoto za kindoa kuanzia kusikilizana ni rahisi kwa huyu bikra
ndio maana wanaleta lundo la vitabu vya nini wakati wanawake tunaishi nao haohao ni vitabu toshaUkigusa suala la bikra wakati watu wanazisoma kwenye maandishi atari
Shauri yako, na ameshajua huo ndio udhaifu wako sasa anautumia kama fimbo kukunyamazisha huku akiendeleza libeneke nje. Jipange na uchunguze zaidi
Kweli Mkuu, lakini pia Maandiko yameruhusu ndoa baada ya kifo cha mmoja wao. Sasa hiyo dhana ya ubikra hapo inasimamaje? Na je ndoa hiyo haiwezi kudumu/kukosa heshima?
Ubikra ni dhana tu, kikubwa heshima na hofu ya Mungu. Basi
Done,Kweli Mkuu, lakini pia Maandiko yameruhusu ndoa baada ya kifo cha mmoja wao. Sasa hiyo dhana ya ubikra hapo inasimamaje? Na je ndoa hiyo haiwezi kudumu/kukosa heshima?
Ubikra ni dhana tu, kikubwa heshima na hofu ya Mungu. Basi
mkuu
Ah wapi! Hujanikamata bana....
Mbona mnawasema tu wanawake VIP wanaume je hawanaga bikira?Nikijaribu kujifikiria kama mwanaume naona kidogo makosa mengine tunayatafuta ndio maana hatufurahii ndoa zetu.
Na haya yanapelekea hawa wanawake wajionee wapo juu kwetu
Tunaoa sana kwasababu ya;
1- Mimba
2- Sura
Na bikra tunaziacha hili ni tatizo kubwa unaoa mwanamke aliyezoea jalamba saa tatu wewe nusu saa chali lazima awe anatoka nje maana humfikishi na kibaya wale wanaoenda kwa pupa kuandaana mwiko sekunde mbili huyo.
Wanawake walioolewa na bikra zao leteni comments
Najua hawa walioolewa wakiwa na ndoa tayari na ex wake watakataa tu
Ila mwanaume ili uishi vizuri na ufurahie ndoa tafuta bikra tu ukimwacha huyo utairudia.
brother uko vizur kufuatilia masuala y mapenzMleta Uzi Nina Shaka kidogo na elimu yako ama iwe ya darasani au ya mtaani...kuna mwanazuoni aliwahi kusema Binadamu wote wana hekima kabla hawajafumbua vinywa vyao...kama unaamini Bikra ndio inalinda ndoa pole sana tena pole...ningekusaidia baadhi ya vitabu ukavisome uongeze utashi
1) Falling in love again written by David & Carole Hocking
2) Life strategies written by Phillip C
3) Understanding the love of your life written by walk thru the Bible ministries
4) Mapenzi kuchipua na kunyauka written by Munga Tehanan
5) Ndoa yataka Moyo written by Faustin Mwikila Kamugisha
Ukishavisoma hivyo vitabu na vingine then utarudi hapa siku za usoni ama kuondoa Uzi wako huu au kujipinga na Uzi huu
nakubaliana na wewe kwa 100%. ila sikubaliani na wewe kwa ushauri wa kusoma vitabu... mapenzi hayahitaji literature review!! kila mtu ni unique linapokuja suala la mapenzi..Mleta Uzi Nina Shaka kidogo na elimu yako ama iwe ya darasani au ya mtaani...kuna mwanazuoni aliwahi kusema Binadamu wote wana hekima kabla hawajafumbua vinywa vyao...kama unaamini Bikra ndio inalinda ndoa pole sana tena pole...ningekusaidia baadhi ya vitabu ukavisome uongeze utashi
1) Falling in love again written by David & Carole Hocking
2) Life strategies written by Phillip C
3) Understanding the love of your life written by walk thru the Bible ministries
4) Mapenzi kuchipua na kunyauka written by Munga Tehanan
5) Ndoa yataka Moyo written by Faustin Mwikila Kamugisha
Ukishavisoma hivyo vitabu na vingine then utarudi hapa siku za usoni ama kuondoa Uzi wako huu au kujipinga na Uzi huu
Nimesoma conversation yako na jamaa. Analazimisha kuwa huna furaha kisa hukuoa bikra. Yani kaForce kweli kwamba unajifanya una furaha., silazimishi furaha as usemavyo am happy from my heart, according kwa mahusiano yetu ya awali am the second one na hata ningekuwa wa mia it doesn't matter as long as tunaheshimiana