Kina msemakweli,kubari kataa,lakini ukweli utabaki pale pale.Hapa naona lipo swara la kuchapiwa. Sawa na bikra huenda kwa badae atakuja kujifunza vijitabia hivyo,lakini ebu jiulize.Mwanamke anapokwambia"Sijalidhika" si ina maana kuna badhi ya sehemu kashapita? Sasa anajaribu kulinganisha mziki wako na wa furani. Sasa bikra atakulinganisha na nani ambaye hajawahi kukutana nae? Sasa unaesema eti wangerudi kutafuta waliobikiri,walibakwa? Si wakikaa vibaya wanachunguliwa! Labda ungetoa maelezo ya nini kifanyike kulinda bikra zao. Na kwa dunia ya sasa,kweli zitatunzwa?! Huku anatamani smartphone,gari zuri,Ipad na mengineyo. Na wenye uwezo huo wanawapa zaidi ya 100.Kama tamaa ya vitu iliyopo kwa sasa isingekuwepo na bikra zingekuwa nyingi. Ila kiukweli kuchaluka kwa mwanamke bikra ni tofauti na aliyekwishazoea.Kila mwanaume hamlidishi