Kosa kubwa kwetu wanaume

Kosa kubwa kwetu wanaume

Umekurupuka ndugu ndio maana nimekuambia ndio upeo wako ulipoishia, rudia kusoma posts zote za kwangu kisha rudi hapa
 
Hujajua unachokiongea mkuu SIWEZI ISIFIA BIKRA BILA NDOA NAJUA MAZURI YAKE sijawahi jutia kuoa nyinyi wote mliooa hao sio wake zenu ndio maana presha na kesi za kusalitiwa nyingi BIKRA ZIPO SEMA UMEZIKOSA WENZIO TUMELEA MKUU
hata ukishindwa itafute hata msingi anza kulea ili ushindane na kesi za vimichepuko vya kijnga

WANAUME MLIOOA WALIOBIKIRIWA WENGI WENU HAMJIAMINI NAO na ndio mnaoongoza kununua dawa za nguvu za kiume ukipinga una lako tu
tatizo lako ni moja pengine ulipata kimada ukambikiri basi ndo unajiona kama wewe ndo wa kwanza kufanya hivyo kwa akili yako inavyokutuma,,wengi wamepiga hizo bikira lakn mwsho wake wakaoa ambao hawakuwa mabikira..mi cjaona uhusiano kati ya mtu kuwa bikira na mtu na watu kupendana..wakati wewe unaoa bikira wenzio wanaoa pale wanapopendwa na kujaliwa sishangai sana lakini labda umezoea sana mitumba sasa ulivyokutana na bikira ukaona kama umepata almasi vile mpk ukaamua kuja kutangaza jamii forum
 
hukijui unachokiongea mkuu hapa hatushindani ongea point zako kama hujaoa tulia haikuhusu LAKINI SIKUSHANGAI MGENI HUMU JAMVINI
una miezi mitatu humu mkuu wewe endelea kubwabwaja
 
hukijui unachokiongea mkuu hapa hatushindani ongea point zako kama hujaoa tulia haikuhusu LAKINI SIKUSHANGAI MGENI HUMU JAMVINI
una miezi mitatu humu mkuu wewe endelea kubwabwaja
hahahaaa so we miaka yote ulioko humu umeishia kujua bikira tu!! sio lazima tuwe na mawazo yanayofanana mkuu so punguza jazba
 
Ndugu nimalizie kusema kama awali UKIMUHESHIMU, UKIMUAMINI NA KUMJALI hata kama ungekuwa wa mia hawezi kukutenda. Ila ukianza uwalakini ukiambiwa na jirani tu "nimemkuta mke wako amesimama barabarani na kaka hata simjui" presha inakupanda unaanza kupumulia mashine na mbaya ajue humuamini anatimiza ule msemo "bora nifanye ili ukiongea uongee kitu cha ukweli"....muamini, mthamini na mjali mkeo hayo mengine ni tantalila tu Mkuu

mkuu hiyo ipo kinadharia zaid hujaileta kiuhalisia na kwa wanawake wa sasa KIZAZI HIKI UISHI NAE HIVO STILL ni bure na cha zaidi atatoka nje huko atajisifia hapangui kwangu ILA KAMA UNATAKA UJIPUNGUZIE STRESS NI MFUMO MZURI MAANA HUTAJUA NYENDO ZAKE
 
hahahaaa so we miaka yote ulioko humu umeishia kujua bikira tu!! sio lazima tuwe na mawazo yanayofanana mkuu so punguza jazba

HIVI PALE PANA NENO BIKRA TU kuoa kwa sifa ya sura au mimba mbona ulizungumzii mimi nimeoa aliye na bikra NIMEONA CHANZO KIKUU CHA KUVUNJIKA NDOA NYINGI IPO KWENYE UAMINIFU
kama umeoa asiye bikra huna raha na ndoa yako pole mkuu
ENDELEA KUKIMBILIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME NAPO HATOTOSHEKA MENGINE MALORI MKUU
ila kama hujaoa itafute mengine utamjenga ACHA HASIRA HAPA

hujawahi sikia ukioa mwanamke asiye bikra umeoa mke wa mtu basi ndo utambue hilo ukibisha umeamua mkuu
 
Sikusema nilikutana nao umri wa kuoa na wala sikuwa mwalimu na sikutembea na mwanafunzi...wote niliokuta Bikra sikutegemea kuzikuta na yalitokea mambo ya ajabu kipindi cha nyuma moja Wapo ikiwa nilikuwa sijatulia "Malaya" hivyo sikudumu nao na mtu pekee aliyebadili mtazamo wangu ni huyu mke wangu ndiye alinifanya nione kweli maisha ya mahusiano ni raha na ndipo napingana na mleta Uzi kwamba Bikra inaweza kuwa guarantee ya Ndoa kudumu

hapa utofautishe mkuu umesema ulikuwa kicheche na hapo hao mabikra hukuwaoa unajuaje uzuri wao?
hapa kinachosemwa ukioa bikra huyu hajacheza miziki mingi hana sifa ya kulinganisha NA HATA UKIKOSA UWE WA PILI AU TATU KATIKA LIST BILA IVO HUYO SIO MKE

MWANAMKE ALIYELALA NA WANAUME ZAIDI YA WATATU KUMTULIZA NGUMU MKUU hata umpe nini
 
HIVI PALE PANA NENO BIKRA TU kuoa kwa sifa ya sura au mimba mbona ulizungumzii mimi nimeoa aliye na bikra NIMEONA CHANZO KIKUU CHA KUVUNJIKA NDOA NYINGI IPO KWENYE UAMINIFU
kama umeoa asiye bikra huna raha na ndoa yako pole mkuu
ENDELEA KUKIMBILIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME NAPO HATOTOSHEKA MENGINE MALORI MKUU
ila kama hujaoa itafute mengine utamjenga ACHA HASIRA HAPA

hujawahi sikia ukioa mwanamke asiye bikra umeoa mke wa mtu basi ndo utambue hilo ukibisha umeamua mkuu
hahahaa we jamaaa bhana so kama umeoa bikira ndo ukaamua kuja kutangaza hapa jamii forum!! haya bhana umeshinda..hongera sana na wala si kwamba nmejenga hasira sorry km kuna comment yangu imekukwaza si lazima mawazo yetu yafanane mda mwngne tunapishana mitazamo kama hivi so hamna haja ya mtu kukasirika
 
siwezi kisifia kitu nisicho nacho mkuu mbona wapo waliooa wake wasio bikra wanakiri hayo hata kama wewe pia umeoa asiye bikra unakiri ILA SIO HASIRA MAANA ALISHATOLEWA NA MTU HUKO
SOMA COMMENTS JUU UONE WANAOKIRI KUOA BIKRA WANAZIFURAHIA KIASI GANI NDOA ZAO sisemi hawana mapungufu ni kiasi kuliko huyu asiye bikra na hasa aliyelala na wanaume zaidi ya watatu kashindwa kuzuia hisia utampa nini umtulize ni ngumu utachapiwa tu
kama hujafanya analysis ndogo fuatilia watu waliooa magume gume na yule uliye na data zake alikuwa anajilinda waweke kapu moja hawa mkuu uone HAVIPINGIKI HIVI
NDOA MUANZE WOTE PAMOJA UKIONGEZA KUJITAMBUA NA KUMCHA MUNGU NDO ZAIDI
 
Maisha ni zaidi vitu vichache ulivyosema.
 
pamoja sana mkuu,sipingan na haya ulioyasema
 
Nikijaribu kujifikiria kama mwanaume naona kidogo makosa mengine tunayatafuta ndio maana hatufurahii ndoa zetu.

Na haya yanapelekea hawa wanawake wajionee wapo juu kwetu

Tunaoa sana kwasababu ya;

1- Mimba

2- Sura

Na bikra tunaziacha hili ni tatizo kubwa unaoa mwanamke aliyezoea jalamba saa tatu wewe nusu saa chali lazima awe anatoka nje maana humfikishi na kibaya wale wanaoenda kwa pupa kuandaana mwiko sekunde mbili huyo.

Wanawake walioolewa na bikra zao leteni comments

Najua hawa walioolewa wakiwa na ndoa tayari na ex wake watakataa tu

Ila mwanaume ili uishi vizuri na ufurahie ndoa tafuta bikra tu ukimwacha huyo utairudia.
Mtoa mada utafute bikra newer he ni bikra. Ushawala v ya kutosha mfyuu
 
sio kila kitu mpaka upekue shelfu za vitabu,mleta uzi yupo sahihi bikra ina impact yake kwenye ndoa tuliioa wanawake bikra tunalifahamu hilo,wemtu ameanza kuujua ulimbi tangu yupo darasa la saba ukamue wewe amemaliza chuo kuna kitu tena hapo?baki na lundo la vitabu hilo
Siku hizi -kuanzia miaka ya 2005 wanawake wa chuo ni scraper, utafikiri Ana miaka 40 hivyo alivyozeeka kila kitu,hawa ni asilimia 70 ya wote wanaomaliza vyuoni
 
Back
Top Bottom