msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
Huyo hana tofauti na mtu anayetoa instruction jinsi ya kuendesha gari wakati hana gari wala hajawah kuliendesha hilo gari
Wachaweee buhahaha buhahahWasio na bikra wanalalamika hapa
Zitunzeni
Ndio mmeamua kurudi enzi za kusaka bikra sio?
Siku hizi -kuanzia miaka ya 2005 wanawake wa chuo ni scraper, utafikiri Ana miaka 40 hivyo alivyozeeka kila kitu,hawa ni asilimia 70 ya wote wanaomaliza vyuoni
Mtoa mada utafute bikra newer he ni bikra. Ushawala v ya kutosha mfyuu
Warudi wanakuwa wamesahahu nini labda?
hapana mkuu siyo rahisi kila kitu ni mind setting tuOKAY hata wasipo rudi huoni kwako wewe ni rahisi kutoka nje kuitafuta furaha ya mwili labda kama hao watatu walikupitia mara moja tu na hata huyo ulienae anakupigisha mziki mkubwa BILA HIVO KWAKO KUTOKA NJE NI RAHISI SANA hebu lieleze hili bila kuficha usimuogope hakuoni
pamoja sana mkuu,sipingan na haya ulioyasema
sipingani nawe ila hebu jiulize una wenzio walio kwenye ndoa pia je hawajawahi kukusimulia huduma walizopata nje au kabla ya ndoa ni bora kuliko hii kwa waume zaohapana mkuu siyo rahisi kila kitu ni mind setting tu
Ndio hawa kila siku wanajidai mume wangu haniridhishi oooh mara hanifikishi,we mtu kuanzia primary anasugua tu mpk imeota sugu kama mguu,leo hii unakuja na boriti utaweza??
Huyo hana tofauti na mtu anayetoa instruction jinsi ya kuendesha gari wakati hana gari wala hajawah kuliendesha hilo gari
Nilichogundua kwenye mjadala hapa ni kwamba wanaume tuna wivu sana.....na tuko selfish sana pia.....tunazungumzia sana ubikira wa mwanamke lakini wachache sana miongoni mwetu tuna-appreaciate umuhimu wa mwanaume naye kuwa bikra!
Nijuavyo mimi binafsi, hata kama ukioa mwanamke bikra, but wewe mwenyewe kabla ya ndoa ulishawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake kibao still utampa shida mke wako....maana yeye atatulia but wewe utarukaruka sana. Hata hivyo bado nafasi ya kuyakana na kuyaacha ya kale bado ipo kwa msaada wa Mungu mwenyezi!
Again, hata ukioa mwanamke bikra, lakini kama hatambui umuhimu na heshima ya ndoa, bado anaweza kuchepuka!!!....Kwa uzoefu wangu, mwanamke ambaye aliolewa bikra alafu baadae akachepuka na mwanaume ambae anajua sex kuliko mume wake, ni rahisi sana kumtoa kwenye reli ya ndoa....hata ndoa inaweza kuvunjika kabisa! Scenario za aina hii nimeziona nyingi tu!
What then? kwa wanaume wote, whether umeoa mwanamke bikira au la, hakikisha unamfikisha mkeo kileleni(unamkojolesha ikibidi hata mara mbili au zaidi kwa penzi moja). Hiyo ndio njia mojawapo ya kumfanya mkeo atulie ndoani kimapenzi. Njia nyingine ni upendo, kujali na ku-share kila kitu ili kuleta furaha timilifu na kuaminiana katika ndoa!
Wanawake wazoefu tafadhali changieni vitu vya kumfanya mwanaume atulie ndoani!
nimependalist itabidi niitafute tuMleta Uzi Nina Shaka kidogo na elimu yako ama iwe ya darasani au ya mtaani...kuna mwanazuoni aliwahi kusema Binadamu wote wana hekima kabla hawajafumbua vinywa vyao...kama unaamini Bikra ndio inalinda ndoa pole sana tena pole...ningekusaidia baadhi ya vitabu ukavisome uongeze utashi
1) Falling in love again written by David & Carole Hocking
2) Life strategies written by Phillip C
3) Understanding the love of your life written by walk thru the Bible ministries
4) Mapenzi kuchipua na kunyauka written by Munga Tehanan
5) Ndoa yataka Moyo written by Faustin Mwikila Kamugisha
Ukishavisoma hivyo vitabu na vingine then utarudi hapa siku za usoni ama kuondoa Uzi wako huu au kujipinga na Uzi huu
Bikra inampa confidence mwanaume na syo lazima huyo mwanaume awe bikra.
Syo vibaya kutafuta gar jipya hata kama ulishwai kutumia gar mpya before.
Mwanamke bikra inamaanisha hana mapepo ya ngono.
But bikra is not sufficient and reliable.
mwache aishi kwa vitabu maisha sio nadharia ni uhalisiaLakin hivyo vitabu navto viliandikwa na mtu tu, kama yy alie leta uzi