Kosa kubwa kwetu wanaume

Kosa kubwa kwetu wanaume

Suluhisho ni kupata ambae ana bikra tofauti ya hapoatakudanganya kuwa kafanya na mmoja kumbe washapita wengi
 
Ndugu nimalizie kusema kama awali UKIMUHESHIMU, UKIMUAMINI NA KUMJALI hata kama ungekuwa wa mia hawezi kukutenda.
Yes. Na kwa kujali inatia ndani kumtimizia mwenzio. Mambo ambayo mnaweza kuongea tu.

Mtu kakalia kuimba atatoka atatoka. Atoke kwa sababu gani?? Kama hamnazo hamnazo tu hata akiwa bikra.

Vivulana vinalia lia sana humu
 
Hii ni dhana potofu. Inasikitisha kuona waafrika bado tuna mawazo ya kizamani. Imani yangu ni kuwa uaminifu na kujitambua kwa mwanamke ni zaidi ya bikra. Siamini kuwa kutoa bikra basi ni tiketi ya moja kwa moja kwenye uaminifu. Kuna waliotolewa bikra kwa kubakwa, au na mtu wasiyempenda. Sitaki kuamini eti watamrudia mwanaume huyo.

Pili, hili suala linadhihaki uwezo wa kufikiri ama kuamua wa mwanamke. Umahiri wa kitandani ni zaidi ya kutoa bikra. Nakuhakikishia kutoa bikra si kigezo cha uaminifu. Nina mifano hai miwili binafsi ya wanawake ambao wametolewa bikra na wengine lakini nakamua kama kawaida. Mmoja ameolewa na mwanaume aliyemtoa bikra lakini nimegonga miaka zaidi ya 5 sasa, mwingine anaolewa na mwanaume aliyemtoa bikra mwezi wa 4 mwaka huu lakini bado napeleka mashine.

Kama mkeo ni muaminifu basi ujue tu ana hofu ya Mungu lakini sio hymen uliyoikata. Ni mawazo mgando na siku atakapogongwa nje utachanganyikiwa. Kuvuliwa chupi kwa mwanamke ni maamuzi tu.
 
Nimesoma conversation yako na jamaa. Analazimisha kuwa huna furaha kisa hukuoa bikra. Yani kaForce kweli kwamba unajifanya una furaha.

Halafu yeye ndo ana furaha sana kwa sababu kaoa bikra.

Wataalam wa psychology watusaidie.

By the way THE RICHARDS jiamini mwanaume. Yani una confidence zero. Halafu nakuona mburulaz. There's more to life than hymens. Measuring happiness using virginity, really!!!!

Wenye wasiwasi kuwa watapigiwa mnaonekana shughuli hamjui. Mnaona bora mchukue bikra ili asijue kama haridhishwi.

Yale yaleee niliyosema.

KWANZA SIJAJUA NI MWANAUME MWENZANGU LAKINI INAONYESHA NI MWANAMKE SIWEZI BISHANA NAWE MAANA INAONEKANA UMEINGIA KWENYE NDOA BILA BIKRA thus why una ni attack bila reasoning

kama ni mwanaume UKWELI UPO KWETU unapooa mwanamke aliyekubuhu ukitegemea utamtuliza ni uongo endelea kujiaminisha HEBU NIKUULIZE KIDOGO NDOA NYINGI ZINAZOSUMBUA UNAHISI WOTE HAWAJUI hasa zinazoanzia kwenye UAMINIFU
hujiulizi hilo mtu kadumu kwenye ndoa yake anamrudia ex wake hapa tunazungumzia MEMORY MKUU huwezi futa kitu hicho SISI TULIOOA MABIKRA TUMEONA FAIDA ZAKE ukilinganisha na kesi unazosikia nje
UKIOA BIKRA HANA MEMORY YEYOTE ANAANZA NAWE huyu hata uweze shughuli usiweze still the same NA HUJIULIZI KUKWEPA VIGINGI VYOTE MPAKA MIAKA ZAIDI YA 20 NA BIKRA NI USHINDI
mbulula mkubwa
unaforse reality mkuu FURAHA YA NDOA UNAIJUA KWELI? virgity gives priority feeling superior BISHA HATA HILO NA HAPA
KINACHOONGELEWA ZAIDI uvumilivu,ustahimilifu na compareness huyu hana kabisa BUT IF WISH TO CLASH OKAY!!!!!
REALITY REMAIN THE SAME

MKE BILA BIKRA SIO WAKO kubalini tu msipanic jaman WAACHENI WENYE WAKE WAO WAKIWARUDIA

happiness at marriage starts with faithfullness other follows NA FAITH STARTS BY OBEYING RULES

HUNA BIKRA NIKUAMINIJE KAMA ULIANZA NGONO MIAKA 13 STILL NIKUAMINI huyu hata umkojoleshe kutoka nje kawaida
 
Hii ni dhana potofu. Inasikitisha kuona waafrika bado tuna mawazo ya kizamani. Imani yangu ni kuwa uaminifu na kujitambua kwa mwanamke ni zaidi ya bikra. Siamini kuwa kutoa bikra basi ni tiketi ya moja kwa moja kwenye uaminifu. Kuna waliotolewa bikra kwa kubakwa, au na mtu wasiyempenda. Sitaki kuamini eti watamrudia mwanaume huyo.

Pili, hili suala linadhihaki uwezo wa kufikiri ama kuamua wa mwanamke. Umahiri wa kitandani ni zaidi
ya kutoa bikra. Nakuhakikishia kutoa bikra si kigezo cha uaminifu. Nina mifano hai miwili binafsi ya wanawake ambao wametolewa bikra na wengine lakini nakamua kama kawaida. Mmoja ameolewa na mwanaume aliyemtoa bikra lakini nimegonga miaka zaidi ya 5 sasa, mwingine anaolewa na mwanaume aliyemtoa bikra mwezi wa 4 mwaka huu lakini bado napeleka mashine.

Kama mkeo ni muaminifu basi ujue tu ana hofu ya Mungu lakini sio hymen uliyoikata. Ni mawazo mgando na siku atakapogongwa nje utachanganyikiwa. Kuvuliwa chupi kwa mwanamke ni maamuzi tu.

Hapa ungesema nina mke nimemuoa akiwa bikra ungeeleweka vizuri mkuu but kuaminisha uongo UNA UHAKIKA GANI HAO WALIFIKA NA BIKRA KATIKA NDOA ZAO
na kinachozungumzwa sio kubakwa au force yeyote ni mtu aliye exist katika uhusiano na ieleweke hapa unaweza ukawa wa tatu katika list huyu UTAMTULIZA
FIRST wake huenda kishule shule bado mchanga kifkra wa pili akampata kipindi cha stress za huyu wa kwanza
then akajifunza akatulia MPAKA ANAMPATA MUME HUYU ANATULIZIKA HUJIULIZI KWANINI BIKRA ADIMU NA KESI ZA MAPENZI NYINGI
just think men KABLA HUJAHAKIKISHIA UMMA

iNA MAANA WEWE UNAVOWAGONGA UNAWAULIZA WAKE ZA WATU HUONI haiji hiyo Hymen just a thing MARRIAGE NI NYINGINE
SHARTI WOTE WANGEANZA MAPENZI NDANI YA NDOA HIZI KESI ZA VIAGRA ZISINGEKUWEPO just think beyond na hilo la hofu ya Mungu au kujitambua ni extra hizo point starts ANAPOUVUA UTU WAKE

TUSITETEE UONGO NA KUFANYA NORMAL THING ILI HALI MTOTO ANAINGIA KWENYE NDOA KALALALISHWA NA MSULULU
 
Yes. Na kwa kujali inatia ndani kumtimizia mwenzio. Mambo ambayo mnaweza kuongea tu.

Mtu kakalia kuimba atatoka atatoka. Atoke kwa sababu gani?? Kama hamnazo hamnazo tu hata akiwa bikra.

Vivulana vinalia lia sana humu

UNAKIZUNGUMZIA KIZAZI KIPI LABDA MKUU watu wanajali unampa chochote atakacho still anaenda kuhonga nje NA HUMU WANAOLIA SIO WAVULANA FUATILIA DHREAD ZA WADADA HUMU CHANZO MA EX WAO

truth remain as its huwezi fananisha aliyeanza mapenzi hata kabla hajavunja ungo kapanga watu msululu na anaeanza ukubwani baada ya kujitambua HUYU KUTOKA NI VIGUMU SANA KAJIFUNZA MENGI MPAKA KUFIKA HAPO
INGEKUWA HIVO HATA NENO LINGETURUHUSU FANYENI TU MTATULIZANA NDANI YA NDOA
hao unaowasemea 1000 kwa 1 katika hiki kizazi chetu
huenda umebahatika huyo mmoja katika hilo kundi but mostly of them NI NGUMU
 
Hapa ungesema nina mke nimemuoa akiwa bikra ungeeleweka vizuri mkuu but kuaminisha uongo UNA UHAKIKA GANI HAO WALIFIKA NA BIKRA KATIKA NDOA ZAO
na kinachozungumzwa sio kubakwa au force yeyote ni mtu aliye exist katika uhusiano na ieleweke hapa unaweza ukawa wa tatu katika list huyu UTAMTULIZA
FIRST wake huenda kishule shule bado mchanga kifkra wa pili akampata kipindi cha stress za huyu wa kwanza
then akajifunza akatulia MPAKA ANAMPATA MUME HUYU ANATULIZIKA HUJIULIZI KWANINI BIKRA ADIMU NA KESI ZA MAPENZI NYINGI
just think men KABLA HUJAHAKIKISHIA UMMA

iNA MAANA WEWE UNAVOWAGONGA UNAWAULIZA WAKE ZA WATU HUONI haiji hiyo Hymen just a thing MARRIAGE NI NYINGINE
SHARTI WOTE WANGEANZA MAPENZI NDANI YA NDOA HIZI KESI ZA VIAGRA ZISINGEKUWEPO just think beyond na hilo la hofu ya Mungu au kujitambua ni extra hizo point starts ANAPOUVUA UTU WAKE

TUSITETEE UONGO NA KUFANYA NORMAL THING ILI HALI MTOTO ANAINGIA KWENYE NDOA KALALALISHWA NA MSULULU
Kiongozi haya mambo ya ngono yalianza tokea enzi za mababu. Kujiaminisha kuwa bikra zimeanza kutolewa siku hizi ni upunguani. Kuwalaumu wanawake wa sasa ni kuwaonea tu. Kumbuka zamani population haikuwa kubwa na pia social media was non existent kwa hiyo hizi habari hazikuwapo. Narudia, kumtoa mwanamke bikra sio tiketi kuelekea kwenye uaminifu. Bali uaminifu hutokana na hofu ya Mungu. Usiwe na mawazo mgando na kujipa hope. Kwanza una uhakika gani kuwa mkeo ni muaminifu hata sasa? Wewe wanawake huwajui vizuri. Endelea kujipa hope.
 
nilibahatisha bikra mmoja tu, saivi kila ninae kutana nae ameshatobolewa.

BIKRA BIDHAA ADIMU UKIIPATA WEWE SHUJAA kuna mtu anadeti watu zaidi ya 20 no bikra uliyepata usijisifie uanaume IRUDIE HIYO MKUU huyo ndo halali yako
 
BIKRA BIDHAA ADIMU UKIIPATA WEWE SHUJAA kuna mtu anadeti watu zaidi ya 20 no bikra uliyepata usijisifie uanaume IRUDIE HIYO MKUU huyo ndo halali yako
nilimpatia ujauzito na tayari sasa hivi ana mtoto wangu ni kawa mtu wa kusafri sana akaona kama nimemtenga akaolewa.
 
BIKRA BIDHAA ADIMU UKIIPATA WEWE SHUJAA kuna mtu anadeti watu zaidi ya 20 no bikra uliyepata usijisifie uanaume IRUDIE HIYO MKUU huyo ndo halali yako
Yaani niache kusaka faranga eti niumize kichwa na bikra? huo ni upuuzi. Kwani va-jayjay iliyo na bikra na isiyo na bikra tofauti iko wapi?I aint got that kinda time. Mawazo duni ya mtu mweusi.
 
Kiongozi haya mambo ya ngono yalianza tokea enzi za mababu. Kujiaminisha kuwa bikra zimeanza kutolewa siku hizi ni upunguani. Kuwalaumu wanawake wa sasa ni kuwaonea tu. Kumbuka zamani population haikuwa kubwa na pia social media was non existent kwa hiyo hizi habari hazikuwapo. Narudia, kumtoa mwanamke bikra sio tiketi kuelekea kwenye uaminifu. Bali uaminifu hutokana na hofu ya Mungu. Usiwe na mawazo mgando na kujipa hope. Kwanza una uhakika gani kuwa mkeo ni muaminifu hata sasa? Wewe wanawake huwajui vizuri. Endelea kujipa hope.

ngoja nikuulize mkuu unajua zamani walikuwa wakioa vipi huenda hujalijua hilo kisa huu ukisasa
zamani makabila mengi lazima ndugu pande zote mfano kwetu mbeya nimeshuhudia NI LAZIMA SHANGAZI UPANDE WA KIKE NA KIUME AWEPO then mama wote wawili wanaenda kumkagua binti kabla ya posa wala hatua yeyote zaidi HIVI VITU HAVIPO SIKU HIZI MTOTO ANAJIKULIA ATAKAVYO na ana vunja ungo hajielewi zaidi ya elimu ya kishule wazazi hawakai na watoto wao

ZAMANI BILA BIKRA ILIKUWA HAKUNA NDOA UMEITIA AIBU FAMILIA YAKO KAMA HULIJUI HILI PINGA PIA

HUU MFUMO TULIO NAO UMEANZA MIAKA YA 2000 hapo ndipo malezi yameanza kuwa tofauti ko zamani ipi unaizungumzia UHUNI IWE KAWAIDA UTULIE KWENYE NDOA

KAMA UMEVUNJA AMRI YA MUNGU KUSHIRIKI NGONO KABLA YA MDOA UTASHINDWA KUIVUNJA MIIKO YA NDOA USITOKE NJE IKIWEMO?
 
Yaani niache kusaka faranga eti niumize kichwa na bikra? huo ni upuuzi. Kwani va-jayjay iliyo na bikra na isiyo na bikra tofauti iko wapi?I aint got that kinda time. Mawazo duni ya mtu mweusi.

HIVI HAO WAZUNGU UNAUJUA UTAMADUNI WAO LIKIJA SWALA LA KUJITUNZA HUENDA HUJALIJUA HILO MKUU? mzungu yupi anamruhusu mwanae afanye uhuni chini ya miaka 18 kama kwetu USIONGEE MRADI UMEONGEA hakuna mtu mwenye msimamo kama huyo uanemwita mzungu KO YEYE ANAENDESHWA NA MAWAZO GANI LABDA?

UFINYU WA KUFIKIRI UNAFANYA KUHALALISHA CHOCHOTE
 
Suluhisho ni kupata ambae ana bikra tofauti ya hapoatakudanganya kuwa kafanya na mmoja kumbe washapita wengi

KWANZA HAWEZI SEMA WAMEMPITIA zaidi ya kumi UTAMUACHA bora wenzetu south walikoanza kupima kabisa unayo au huna TZ HAPA KITOTO MIAKA 10 KINABEBA WAZEE UTAKITULIZA KWELI hiyo mpaka viagra
 
HIVI HAO WAZUNGU UNAUJUA UTAMADUNI WAO LIKIJA SWALA LA KUJITUNZA HUENDA HUJALIJUA HILO MKUU? mzungu yupi anamruhusu mwanae afanye uhuni chini ya miaka 18 kama kwetu USIONGEE MRADI UMEONGEA hakuna mtu mwenye msimamo kama huyo uanemwita mzungu KO YEYE ANAENDESHWA NA MAWAZO GANI LABDA?

UFINYU WA KUFIKIRI UNAFANYA KUHALALISHA CHOCHOTE
Sijaongelea wazungu hapa kwa hiyo sioni mantiki yako. Pia hujui mimi nimeishi au ninaishi kwa/na wazungu miaka mingapi sasa. Pili, kati ya mimi na wewe nani mwenye mawazo finyu. Wewe mtu mzima (I suppose) uko busy obsessed na vitu medieval and irrelevant in today's world. Kama unapenda sana utamaduni basi vaa magome ya miti pia. Usinyanyase dada zetu kwa imani potofu kandamizi zisizo na mashiko. For you to think Caucasian girls start to have sex at 18 is hilarious. Hujui unachoongea,tuulize tunaoishi nao wazungu tukwambie.
 
Back
Top Bottom