utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,830
- 2,417
skendo nini hapa? katiba inasema mnunuzi alitakiwa awe na sifa gani?Ni majuzi tu tuliambiwa na waziri pale mjengoni kuwa korosho itashuka bei kutoka 3300 hadi 2600 kisa imeshuka ubora lkn sasa someni hapo kwenye tangazo la dalali wetuView attachment 1020041
In God we Trust
ajitumbuwe nayeye!! maana amekuwa jipu zaidi ya yale aliyotumbua.Tutapambana Na Rushwa Na Wizi Serikalini Bila Kigugumizi Chochote, Dawa Ya Jipu Ni Kulitumbua
ajitumbuwe nayeye!! maana amekuwa jipu zaidi ya yale aliyotumbua.
Sent using Jamii Forums mobile app
skendo nini hapa? katiba inasema mnunuzi alitakiwa awe na sifa gani?
Oh mnunuzi ana wake wengi..
oh mnunuzi anauza Alibaba
ohh mnunuzi ana uhusiano na shetani
Tulitaka mnunuzi kanunua.. done
Kwa JPM mnalazimisha hadithi nyingi ziwe skendo...... mnapata tabu sana
mwandishi alipenda tuone grade iliyoandikwa ya korosho na tulinganishe na tamko la serikali kwamba imeshuka thamani.Wewe umeelewaje maana sioni bei hapo
Za kangomba wamepora zote, sasa wamehamia kwenye ubora.Eh kumbe ina grade bora kabisa ya AA halafu huku nyumbani serikali yetu yenyewe inatwambia kuwa imeshuka ubora!.
Huu ni uporaji huu!
skendo nini hapa? katiba inasema mnunuzi alitakiwa awe na sifa gani?
Oh mnunuzi ana wake wengi..
oh mnunuzi anauza Alibaba
ohh mnunuzi ana uhusiano na shetani
Tulitaka mnunuzi kanunua.. done
Kwa JPM mnalazimisha hadithi nyingi ziwe skendo...... mnapata tabu sana
mwandishi alipenda tuone grade iliyoandikwa ya korosho na tulinganishe na tamko la serikali kwamba imeshuka thamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni mmojawapo katika ambao hawajaelewa!Ni viboko tu mpaka 2025 mtapata tabu sana!
Yah kama wewe ulivyokuwa mtumwa wa chuki na siasa zisizo kichwa wala mguuWewe endelea kuwa mtumwa wa mawazo na jina
In God we Trust
tuliambiwa ni mteja na amepewa bei.... Yeye mnunuzi anazitanga kuziuza kwa faida zaidi ambayo ndio utaratibu wa kawaida wa businessHakuna kilicho nunuliwa bali huyo aliyetangazwa ni dalali tu wa ccm
In God we Trust
Hahahahaa, unataka tuitwe wachochezi.Mi sijui kusoma,nielewesheni.
Kwa niaba ya watoa sadakaNiko powa .... nakula bata tu mjengoni... nakula kwa niaba yenu wananchi...
Yes sir
Ungekuwa kuku hivi tarehe kama hizi wangekuvumilia siku mbili tatu kwa kukuchoma moto mdomo huku wanavuta subira Pasaka ifike.Ni viboko tu mpaka 2025 mtapata tabu sana!