Korosho hii ni kwa wanaojua kusoma tu

Ni majuzi tu tuliambiwa na waziri pale mjengoni kuwa korosho itashuka bei kutoka 3300 hadi 2600 kisa imeshuka ubora lkn sasa someni hapo kwenye tangazo la dalali wetuView attachment 1020041

In God we Trust
skendo nini hapa? katiba inasema mnunuzi alitakiwa awe na sifa gani?
Oh mnunuzi ana wake wengi..
oh mnunuzi anauza Alibaba
ohh mnunuzi ana uhusiano na shetani
Tulitaka mnunuzi kanunua.. done
Kwa JPM mnalazimisha hadithi nyingi ziwe skendo...... mnapata tabu sana
 
Hakuna kilicho nunuliwa bali huyo aliyetangazwa ni dalali tu wa ccm
skendo nini hapa? katiba inasema mnunuzi alitakiwa awe na sifa gani?
Oh mnunuzi ana wake wengi..
oh mnunuzi anauza Alibaba
ohh mnunuzi ana uhusiano na shetani
Tulitaka mnunuzi kanunua.. done
Kwa JPM mnalazimisha hadithi nyingi ziwe skendo...... mnapata tabu sana

In God we Trust
 
Wewe endelea kuwa mtumwa wa mawazo na jina
skendo nini hapa? katiba inasema mnunuzi alitakiwa awe na sifa gani?
Oh mnunuzi ana wake wengi..
oh mnunuzi anauza Alibaba
ohh mnunuzi ana uhusiano na shetani
Tulitaka mnunuzi kanunua.. done
Kwa JPM mnalazimisha hadithi nyingi ziwe skendo...... mnapata tabu sana

In God we Trust
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom