Korosho hii ni kwa wanaojua kusoma tu

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,533
2,000
Ni majuzi tu tuliambiwa na waziri pale mjengoni kuwa korosho itashuka bei kutoka 3300 hadi 2600 kisa imeshuka ubora lkn sasa someni hapo kwenye tangazo la dalali wetu
FB_IMG_1549902486423.jpeg


In God we Trust
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,533
2,000
Naamini maneno yako maana hadi sasa hana pakushika
No wonder, tumekaa kimya mambo yamesongamana.Ila mjengoni baba mwenye nyumba anajikaza but lesson learned harudii tena.
In God we Trust
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom