Korea Kaskazini: Kuzimu iliyopo duniani

Korea Kaskazini: Kuzimu iliyopo duniani

Dennis Rodman mcheza kikapu wa zamani wa USA ambaye in rafiki wa rais kim jon Un wa sasa, alijaribu kuipatanisha usa na north Korea. Washington DC wakatoa statement kua uwepo wa Rodman kwenye diplomacy hauna maana ni USA imeshiriki. Hawautambui. Rodman haiwakilishi USA.
Dennis kuona Hivyo akaamua ku -cease.
 
-Kiongozi wa zamani wa nchi hiyo kim sung wa pili na Kim Jong il, Baba mzazi wa rais wa sasa Kim Jong un, ndo wanajulikana kama mungu wa taifa hilo.

-Ni marufuku Kwa mtu yeyote kumiliki gari, wanaruhusiwa wanajeshi tu na viongozi wazito wa serikali.

-Ni marufuku kuperuzi mitandao wala kutumia internet.

-Nguo zote za jeans haziruhusiwi, maana kuzivaa ni kuiga wamarekani.

-Watalii wote hufikia ktk Hotel moja iliyopo ktk kisiwa cha mji mkuu wa Pyongyang, na hawaruhusiwi kutembea peke yao ,na wakiwa ndani ya hotel usiku hawaruhusiwi kutoka nje.

-kupeana mimba kabla ya ndoa ni kosa na adhabu yake ni miaka kadhaa jela.

-Hurusiwi kuishi maisha mazuri au kuwa tajiri kumshinda rais wa milele.

-Watoto wote nchi nzima huvaa sare za Shule hata kama hawapo shuleni, hiyo ni sheria.

-Huruhusiwi kunyoa staili ya panki kama rais, ukikamatwa unafungwa.

-Wananchi wote nchi nzima ni lazima kuvaa nguo yenye baji ya rais wao.

Jeshi linathaminiwa kuliko kitu chochote ndani ya nchi hiyo.

Raia yeyote akibainika anataka kuhama nchi au anaihama, adhabu yake ni kifo.

-Rais haongozi nchi Kwa kufuata katiba, akiamka asubuhi na kuamua jambo lolote liwe linakuwa na hakuna kuhoji.

Rais ndo mtu mwenyewe akili zaidi kuliko wote ndani ya nchi hiyo na anaaminika kuwa anao uwezo wa kujua unafikiria.
Kwa hiyo akikuona ktk fikra zako unapanga kumpindua unauawa.

Mjomba wake na rais wa sasa, aliuawa kikatili Kwa kuliwa na mbwa 100 wenye njaa kali.

Makomandoo watano waliokuwa wamekamatwa Kwa kuhisiwa kuwa wanataka kuipindua serikali na kisha kuwekwa kwenye gereza lenye ulinzi mkali Sana, bado waliweza kutoroka.
Waliruka uzio mrefu wenye umeme hadi kila mtu akashangaa.

Wiki moja baadae walikamatwa wakiwa karibia mpaka wa China, wakiwa wamechoka na hawajiwezi Kwa njaa.
Waliteswa na kisha wakapelekwa ktk uwanja wa taifa na kila raia akaamriwa kuwapiga mawe, japokuwa walikufa ila bado raia wote iliazimiwa wawapige mawe.

Wanajeshi wakiilinda maiti ya kiongozi wa zamani Kim Jong il, ikiwa imekaushwa na kuwekwa ktk jeneza la kioo.

Mengi sio ya kweli ni propaganda za Wazungu kwasababu imewashinda kuitawala kwa njia yoyote ile! Jamaa wako vizuri, wanajikubali na wanafanya makubwa katika anga za Technologia.

North Korea ndio hasa nchi yenye msimamo. Hayo ya kumiliki vitu vya anasa ni habari ya zamani enzi za vita baridi. Sasahivi wao ideology yao ni Self-reliance in everything. Sio communist wa capitalist
 
Huuu uongo kabisa haiwezekani hawa jamaa kuwa IQ ndogo alafu waweze kuwa wako juu kuliko nchi kama Canada nk ila wtz hata wakala wa vipimo ameshindwa kutumia scale za kupimia mafuta anapimia fimbo ? Heheheheeeee IQ ndogo
 
Life style Yao hiyo! Hivi kikwete hajawahi kwenda huko katika kipindi chake???
 
Mengi sio ya kweli ni propaganda za Wazungu kwasababu imewashinda kuitawala kwa njia yoyote ile! Jamaa wako vizuri, wanajikubali na wanafanya makubwa katika anga za Technologia.

North Korea ndio hasa nchi yenye msimamo. Hayo ya kumiliki vitu vya anasa ni habari ya zamani enzi za vita baridi. Sasahivi wao ideology yao ni Self-reliance in everything. Sio communist wa capitalist

Hivi huu ugonjwa wa kusingizia kila kitu kuwa ni western propaganda umetoka wapi?

Hivi CCTV ya china ni media ya western?
Maana kwa macho yangu nimeona makala kwenye cctv ikieleza haya yote yaliyoelezwa na mtoa mada
Hakuna siri juu ya haya yote, yapo wazi, wakati kim jong il baba anafariki miaka michache iliyopita vyombo vingi vya habari tena ambavyo ni anti western kama Russia today, press tv iran, cctv china na hata aljazeera vilikua na comprehensive coverage ya maisha hawa watu north korea, hakuna hata kimoja cha uongo hapo, watu hao wanateseka hakuna mfano
Kwa miaka zaidi ya kumi wamekua wakipewa chakula cha msaada na UN

Taifa hili halifanyi biashara na taifa lolote lile duniani kutokana na vikwazo, pia hawana foreign currency reserve, hawana kabisa, bank yao ambayo ni moja tu iko under strict sanctions hivyo haifanyi transaction na bank yeyote nje, hii maana yake dunia haiwezi kufanya biashara na hili taifa, hakuna access ya kibenki

Kwa hiyo watu wa taifa hilo wanaishi kijamaa kwa kugawiana mahitaji nyumba kwa nyumba baada ya kugawiwa na serikali, mgao hufanyika kila jumapili ya mwisho wa mwezi, na ni kiasi kidogo mno kinachotolewa kwa kaya, hakiwezi kufika jumapili ya mwezi mwingine,

Uhai wa taifa hili unaitegemea china, maana ndio access pekee ya biashara, mahitaji, fedha na mengineyo kupitia black market
Taifa hili limeamua kutumia karibu asilimia 60 ya budget kwenye jeshi na mpango wa nyuklia hata kama raia wanakufa na njaa

Nimeishi Pyongyang miezi 3 mwaka 2011 wakati wa baba yake na kim jon un hajafa, kila siku ni lazima wageni wote waishio mtaani waende waripoti kwamba leo nimeamka salama naomba ruhusa kwenda mjini, unapewa barua na mwenyekiti wa serikali ya mtaa ndipo unaenda mjini, askari wakikushika unawapa barua, jioni ukirudi unaripoti tena nimerudi

Watanzania tuna ujuaji sana, kisomi tunapaswa kupinga utafiti kwa kutumia utafiti mwingine na sio kudai ni western propaganda, ukiulizwa defense ya hoja yako ni nn, unadai ni western media propaganda, really?

Tawala za kiimla zipo hivi duniani kote, kawaulize raia wa Belarus wakwambie wanachokiana
 
We mwenyewe ni western agent....kwa kujua au kwa kutokujua! Raia wake wako happy na ndio maana hawajasambaa sana. Kungekua na shida kama unavyodai wangetoroka wakaomba hata hadhi ya ukimbizi kwa majirani. Usiniambie eti wamezuiliwa kuondoka maana kama una shida hakuna mtu anaweza kukuzuia usitoroke. By the way huwezi kuwafunga kamba raia wote ukawaweza!

We mwenyewe umeelezea vizuri jinsi uhusiano wa hii nchi na mataifa ya west ulivyo sijui kwanini huamini kama kunaweza kuwa na propaganda! Mwenye akili finyu pekee ndio anaweza kuwaza kwamba propaganda lazima ifanyike katika vyombo vya habari vya ndani pekee!
 
Hivi huu ugonjwa wa kusingizia kila kitu kuwa ni western propaganda umetoka wapi?

Hivi CCTV ya china ni media ya western?
Maana kwa macho yangu nimeona makala kwenye cctv ikieleza haya yote yaliyoelezwa na mtoa mada
Hakuna siri juu ya haya yote, yapo wazi, wakati kim jong il baba anafariki miaka michache iliyopita vyombo vingi vya habari tena ambavyo ni anti western kama Russia today, press tv iran, cctv china na hata aljazeera vilikua na comprehensive coverage ya maisha hawa watu north korea, hakuna hata kimoja cha uongo hapo, watu hao wanateseka hakuna mfano
Kwa miaka zaidi ya kumi wamekua wakipewa chakula cha msaada na UN

Taifa hili halifanyi biashara na taifa lolote lile duniani kutokana na vikwazo, pia hawana foreign currency reserve, hawana kabisa, bank yao ambayo ni moja tu iko under strict sanctions hivyo haifanyi transaction na bank yeyote nje, hii maana yake dunia haiwezi kufanya biashara na hili taifa, hakuna access ya kibenki

Kwa hiyo watu wa taifa hilo wanaishi kijamaa kwa kugawiana mahitaji nyumba kwa nyumba baada ya kugawiwa na serikali, mgao hufanyika kila jumapili ya mwisho wa mwezi, na ni kiasi kidogo mno kinachotolewa kwa kaya, hakiwezi kufika jumapili ya mwezi mwingine,

Uhai wa taifa hili unaitegemea china, maana ndio access pekee ya biashara, mahitaji, fedha na mengineyo kupitia black market
Taifa hili limeamua kutumia karibu asilimia 60 ya budget kwenye jeshi na mpango wa nyuklia hata kama raia wanakufa na njaa

Nimeishi Pyongyang miezi 3 mwaka 2011 wakati wa baba yake na kim jon un hajafa, kila siku ni lazima wageni wote waishio mtaani waende waripoti kwamba leo nimeamka salama naomba ruhusa kwenda mjini, unapewa barua na mwenyekiti wa serikali ya mtaa ndipo unaenda mjini, askari wakikushika unawapa barua, jioni ukirudi unaripoti tena nimerudi

Watanzania tuna ujuaji sana, kisomi tunapaswa kupinga utafiti kwa kutumia utafiti mwingine na sio kudai ni western propaganda, ukiulizwa defense ya hoja yako ni nn, unadai ni western media propaganda, really?

Tawala za kiimla zipo hivi duniani kote, kawaulize raia wa Belarus wakwambie wanachokiana
Mkuu samahani if you don't mind, ningependa kujuwa nchi kama North Korea ulikwenda kwa shughuri gani? Na je taratibu za visa zikoje na sarafu yao inaitwaje? Je chairman Comrade Wa chama chao cha kikomunisti ana ushawishi gani katika Taiga hill?
 
Fungua hiyo link uone Pyongyang halafu uniambie hayo magari na majengo ni ya kina nani halafu siku nyingine usije na upupu wako hapa
 
North Korea ni janga!

Watu wanakufa kwa njaa halafu mnasema ni western propaganda?

Hakuna hata chembe ya ubidanamu??

Utatumiaje 50% ya budget ktk jeshi halafu na watu wako wanasaidiwa chakula cha msaada na unasema watu wako happy?

Tuacheni kutoa hoja za kinafiki!!
 
kama wana IQ ndogo mbona technogically wapo juu zaid yetu? au IQ ni uwezo wa kuongea majungu na kuwaza ngono?
Saaafi!Kwani lazima wote tuwe na utaratibu sawa?Kila nyumba na taratibu zake Bwana.NK na taratibu zao na Hao US na taratibu zao.
 
Mkuu samahani if you don't mind, ningependa kujuwa nchi kama North Korea ulikwenda kwa shughuri gani? Na je taratibu za visa zikoje na sarafu yao inaitwaje? Je chairman Comrade Wa chama chao cha kikomunisti ana ushawishi gani katika Taiga hill?
Mm nilikwenda huko 2011 na shirika la UNFPA kama volunteer, tulipata visa Sweden ambako ndio kulikua na diplomatic mission, then tukaenda kuondokea china kwenda huko

Currency yao inaitwa won, na kiongozi msaidizi wa chama alikua kim yong nam wakati huo, ila mwenyekiti wa chama raidi wa nchi hiyo marehem kim jong ill, kwa sasa sijui bado utaratibu ni huo au la

Ila karibia yote aliyosema mleta mada ni ya kweli, gari alizoonyesha mdau kwenye picha ni za watu waliokua,authorised, kuna maswali mengi na misukosyko ukinunua gari, na utalinunua wapi?
 
-"kupeana mimba kabla ya ndoa ni kosa na adhabu yake ni miaka kadhaa jela". Hii sheria nimeipenda watoto wa mitaan wanapungua
 
Yule rais wao bado mtoto sana na kwa sheria hizo watakufa wengj
 
Mtukwao,
Asante kwa hiyo link. Yaani nimejikuta nasoma kila kitu. Duuuh! Kama uhusiano wetu ndivyo ulivyo basi kuna kazi kweli kweli!
Mm nimetoa first hand experience, nimeishi kwa miezi 3 mwaka 2011 nilienda kwa program ya UNFPA, hivyo mengi ya aliyosema mleta mada niliyaona, wageni wote tuishio mitaani lazima asubuhi na jioni tulipoti kwa serikali ya mtaa, achin num

Sijawahi kuzipenda nchi za magharibi, lakini siwezi kuzisingizia nchi za magharibi kwa vitu nilivyoviona mwenyewe, napenda kuwa mkweli kwenye ukweli

Raia wa north korea wao wenyewe wameshazoea maisha hayo, hawana jinsi waende wapi?
Raia yoyote haruhusiwi kuondoka nchini humo bila sababu maalum,

Magari yanaendeshwa na watu wengi tu katika nchi hiyo lakini ndio hao waliokua authorised, viongozi wa jeshi, taasisi, viongozi wa mitaa, wakuu wa shule na kadhalika ambao pia ni wengi, magari haya yakiingia barabarani ni mengi, na yakioneshwa kwenye video unaweza kudhani kila raia ana gari

Wapo watu asilia yao ni ubishi, no matter what, ukimwambia hii ni njano yeye anasema ni nyekundu, watu watajaribu kumwelewesha hii ni njano yeye atabaki peke yake akidai ni nyekundu, huyo mtu hawezi kisaidika,
Ni matumaini yangu haupo kwenye kundi hilo
 
nchi hiyo kiboko aisee north korea kila mtu nimjeda nadhani mkuu ivi inawezekana kwenda kusoma huko kama ilivo kwa nchi zingine
 
Niliwahi sikia Waziri kahukumiwa kifo kwa kusinzia kwenye kikao cha rais, sijui kama kuna ukweli hapa.
 
Kuna watu humu mazuzu kweli, wanafikia kusema eti wana IQ ndogo wakat uchumi wao uko juu, ni nchi pekee ambayo haina madeni, wanatengeneza siraha nzito ambazo hata marekan zinamnyima usingizi, wametuma satelite kwenye obit. Nyinyi mnaoongea kuwa wana IQ ndogo hata ubunifu wa ujasiliamali kwenye familia zenu mmeshindwa mmekalia kulialia na serkali mkitaka iwakwamue. Acheni ushabiki wa kijinga
Almost kila kitu ulichoandika sio kweli. North korea uchumi hauko juu. Nchi yao imepigwa vikwazo vizito hawafanyi biashara na nchi yoyote zaidi ya china tena kwa black market, kuna mdau ameshaelezea hapo kwamba hata benki kwao ni shida sasa sijui uchumi wao uko juu kivipi. Kwenye silaha pia hawana silah ya kumtisha marekani kama unavosema labda unitajie ni silah gani hiyo maana kwa miaka mingi wanajaribu kutengeneza makombora ya masafa marefu ila wameshindwa. Na kurusha satellite kwenye orbit ni kitu cha kawaida sana nchi nyingi zilifanya hivyo miaka ya 1950 ila kwa level ya north korea wamejitahidi ndo mana tunasema hii nchi inawatu wenye iq ndogo coz pamoja na kulaza wananchi wao na njaa ili wawekeze kwenye vitu kama hivi bado wako nyuma kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom