Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,697
-Kiongozi wa zamani wa nchi hiyo kim sung wa pili na Kim Jong il, Baba mzazi wa rais wa sasa Kim Jong un, ndo wanajulikana kama mungu wa taifa hilo.
-Ni marufuku Kwa mtu yeyote kumiliki gari, wanaruhusiwa wanajeshi tu na viongozi wazito wa serikali.
-Ni marufuku kuperuzi mitandao wala kutumia internet.
-Nguo zote za jeans haziruhusiwi, maana kuzivaa ni kuiga wamarekani.
-Watalii wote hufikia ktk Hotel moja iliyopo ktk kisiwa cha mji mkuu wa Pyongyang, na hawaruhusiwi kutembea peke yao ,na wakiwa ndani ya hotel usiku hawaruhusiwi kutoka nje.
-kupeana mimba kabla ya ndoa ni kosa na adhabu yake ni miaka kadhaa jela.
-Hurusiwi kuishi maisha mazuri au kuwa tajiri kumshinda rais wa milele.
-Watoto wote nchi nzima huvaa sare za Shule hata kama hawapo shuleni, hiyo ni sheria.
-Huruhusiwi kunyoa staili ya panki kama rais, ukikamatwa unafungwa.
-Wananchi wote nchi nzima ni lazima kuvaa nguo yenye baji ya rais wao.
Jeshi linathaminiwa kuliko kitu chochote ndani ya nchi hiyo.
Raia yeyote akibainika anataka kuhama nchi au anaihama, adhabu yake ni kifo.
-Rais haongozi nchi Kwa kufuata katiba, akiamka asubuhi na kuamua jambo lolote liwe linakuwa na hakuna kuhoji.
Rais ndo mtu mwenyewe akili zaidi kuliko wote ndani ya nchi hiyo na anaaminika kuwa anao uwezo wa kujua unafikiria.
Kwa hiyo akikuona ktk fikra zako unapanga kumpindua unauawa.
Mjomba wake na rais wa sasa, aliuawa kikatili Kwa kuliwa na mbwa 100 wenye njaa kali.
Makomandoo watano waliokuwa wamekamatwa Kwa kuhisiwa kuwa wanataka kuipindua serikali na kisha kuwekwa kwenye gereza lenye ulinzi mkali Sana, bado waliweza kutoroka.
Waliruka uzio mrefu wenye umeme hadi kila mtu akashangaa.
Wiki moja baadae walikamatwa wakiwa karibia mpaka wa China, wakiwa wamechoka na hawajiwezi Kwa njaa.
Waliteswa na kisha wakapelekwa ktk uwanja wa taifa na kila raia akaamriwa kuwapiga mawe, japokuwa walikufa ila bado raia wote iliazimiwa wawapige mawe.
Wanajeshi wakiilinda maiti ya kiongozi wa zamani Kim Jong il, ikiwa imekaushwa na kuwekwa ktk jeneza la kioo.