Uongozi
Uongozi wowote unaojuhusisha na Ushetani lazima utese watu maana ndiyo kazi za kishetani.We mwenyewe ni western agent....kwa kujua au kwa kutokujua! Raia wake wako happy na ndio maana hawajasambaa sana. Kungekua na shida kama unavyodai wangetoroka wakaomba hata hadhi ya ukimbizi kwa majirani. Usiniambie eti wamezuiliwa kuondoka maana kama una shida hakuna mtu anaweza kukuzuia usitoroke. By the way huwezi kuwafunga kamba raia wote ukawaweza!
We mwenyewe umeelezea vizuri jinsi uhusiano wa hii nchi na mataifa ya west ulivyo sijui kwanini huamini kama kunaweza kuwa na propaganda! Mwenye akili finyu pekee ndio anaweza kuwaza kwamba propaganda lazima ifanyike katika vyombo vya habari vya ndani pekee!