Korea Kaskazini: Kuzimu iliyopo duniani

Korea Kaskazini: Kuzimu iliyopo duniani

-Rais haongozi nchi Kwa kufuata katiba, akiamka asubuhi na kuamua jambo lolote liwe linakuwa na hakuna kuhoji.

... kumbe na sisi tunafanana fanana na N. Korea! Maana JPM akiamua tusiadhimishe siku ya uhuru hakuna anayehoji, hata bunge; pesa anaidhinisha mwenyewe anavyojisikia, n.k.
 
... kumbe na sisi tunafanana fanana na N. Korea! Maana JPM akiamua tusiadhimishe siku ya uhuru hakuna anayehoji, hata bunge; pesa anaidhinisha mwenyewe anavyojisikia, n.k.
Mkuu, kama umesoma social science.: kuna wakati inatolewa hoja u-argue for or against it. Utakuja gundua, kila ukweli regardless of what bado kuna vi-element vya criticisms ambavyo havikosi kuonekana. Lakini hii haiondoi ukweli wa NOrth Korea.

Kuhusu JPM alichofanya kupitia kuzuia sherehe ta uhuru, "ndiyo ule ni udikteta" lakini watizedi hawakuathiriwa nao sana sana waliiona wananufaika nao, ndio maana kila mtu alimsifu. Lakini rais anapaswa kufuata utawala wa sheria. Na sio kuangalia ubavu gani kaamkia ndio afanye maamuzi.
Hivyo kwa kitendo.cha kuzuia sherehe zA uhuru ni kidogo sana hivyo bado magu wala Tanzania haijafanana hata tone na Kim jong un wala North Korea respectively.
 
Wakati wenzao Korea Kusini wana Majiji zaidi ya 100. Korea Kasikazini toka Mwaka 1950 mpaka Leo wana majiji mazuri 3 au 5 hivi. Nchi ambayo watu wanalazimishwa kuria au kucheka.
 
Mkuu, kama umesoma social science.: kuna wakati inatolewa hoja u-argue for or against it. Utakuja gundua, kila ukweli regardless of what bado kuna vi-element vya criticisms ambavyo havikosi kuonekana. Lakini hii haiondoi ukweli wa NOrth Korea.

Kuhusu JPM alichofanya kupitia kuzuia sherehe ta uhuru, "ndiyo ule ni udikteta" lakini watizedi hawakuathiriwa nao sana sana waliiona wananufaika nao, ndio maana kila mtu alimsifu. Lakini rais anapaswa kufuata utawala wa sheria. Na sio kuangalia ubavu gani kaamkia ndio afanye maamuzi.
Hivyo kwa kitendo.cha kuzuia sherehe zA uhuru ni kidogo sana hivyo bado magu wala Tanzania haijafanana hata tone na Kim jong un wala North Korea respectively.

upo sahihi..
 
-Kiongozi wa zamani wa nchi hiyo kim sung wa pili na Kim Jong il, Baba mzazi wa rais wa sasa Kim Jong un, ndo wanajulikana kama mungu wa taifa hilo.

-Ni marufuku Kwa mtu yeyote kumiliki gari, wanaruhusiwa wanajeshi tu na viongozi wazito wa serikali.

-Ni marufuku kuperuzi mitandao wala kutumia internet.

-Nguo zote za jeans haziruhusiwi, maana kuzivaa ni kuiga wamarekani.

-Watalii wote hufikia ktk Hotel moja iliyopo ktk kisiwa cha mji mkuu wa Pyongyang, na hawaruhusiwi kutembea peke yao ,na wakiwa ndani ya hotel usiku hawaruhusiwi kutoka nje.

-kupeana mimba kabla ya ndoa ni kosa na adhabu yake ni miaka kadhaa jela.

-Hurusiwi kuishi maisha mazuri au kuwa tajiri kumshinda rais wa milele.

-Watoto wote nchi nzima huvaa sare za Shule hata kama hawapo shuleni, hiyo ni sheria.

-Huruhusiwi kunyoa staili ya panki kama rais, ukikamatwa unafungwa.

-Wananchi wote nchi nzima ni lazima kuvaa nguo yenye baji ya rais wao.

Jeshi linathaminiwa kuliko kitu chochote ndani ya nchi hiyo.

Raia yeyote akibainika anataka kuhama nchi au anaihama, adhabu yake ni kifo.

-Rais haongozi nchi Kwa kufuata katiba, akiamka asubuhi na kuamua jambo lolote liwe linakuwa na hakuna kuhoji.

Rais ndo mtu mwenyewe akili zaidi kuliko wote ndani ya nchi hiyo na anaaminika kuwa anao uwezo wa kujua unafikiria.
Kwa hiyo akikuona ktk fikra zako unapanga kumpindua unauawa.

Mjomba wake na rais wa sasa, aliuawa kikatili Kwa kuliwa na mbwa 100 wenye njaa kali.

Makomandoo watano waliokuwa wamekamatwa Kwa kuhisiwa kuwa wanataka kuipindua serikali na kisha kuwekwa kwenye gereza lenye ulinzi mkali Sana, bado waliweza kutoroka.
Waliruka uzio mrefu wenye umeme hadi kila mtu akashangaa.

Wiki moja baadae walikamatwa wakiwa karibia mpaka wa China, wakiwa wamechoka na hawajiwezi Kwa njaa.
Waliteswa na kisha wakapelekwa ktk uwanja wa taifa na kila raia akaamriwa kuwapiga mawe, japokuwa walikufa ila bado raia wote iliazimiwa wawapige mawe.

Wanajeshi wakiilinda maiti ya kiongozi wa zamani Kim Jong il, ikiwa imekaushwa na kuwekwa ktk jeneza la kioo.
mbona hawaitwi magaidi? au gaidi mpaka uwe muislamu tu
 
Mm nilikwenda huko 2011 na shirika la UNFPA kama volunteer, tulipata visa Sweden ambako ndio kulikua na diplomatic mission, then tukaenda kuondokea china kwenda huko

Currency yao inaitwa won, na kiongozi msaidizi wa chama alikua kim yong nam wakati huo, ila mwenyekiti wa chama raidi wa nchi hiyo marehem kim jong ill, kwa sasa sijui bado utaratibu ni huo au la

Ila karibia yote aliyosema mleta mada ni ya kweli, gari alizoonyesha mdau kwenye picha ni za watu waliokua,authorised, kuna maswali mengi na misukosyko ukinunua gari, na utalinunua wapi?
Hawa wanaobishana na wewe ni wendawazimu.Kama ulivyosema kuna baadhi ya watanzania,mi nasema baadhi si wote,kujifanya wanajua wasichokijua.Hubisha kitu kwa ushabiki .

Shangaa hawa watu,pamoja na kuwathibitishia kuwa ulishaenda bado hawaamini wanaendelea na misimamo yao yakutunga vichwani mwao.

Huhitaji kuwa na akili nyingi kugundua kuwa watu wa North Korea wanaishi jehanamu ya duniani
 
Daaaah, haya ni majanga Taslimu!!

Na ndiomaana nchi hiyo inaaminika kuwa inawatu wenye IQ ndogo kuliko nchi yoyote duniani.... Eti binadamu anauwezo mkubwa wa kuweza kujua unachokifikiri....!! jamani. ..Jamaniiiiii

BACK TANGANYIKA

Wenzio wanarusha satelite sasa hv wewe uko busy na madawati...think kisha ulete mrejesho nani mwenye IQ kubwa??
 
Back
Top Bottom