kongosho......

he he he, wala usikonde.

Nikikula wewe ni stater tu na si main course, nikikuhurumia unakuwa desert.

Acha nile bepari kwa main course.
Hahahahahahaaaaaa hapo umenena Kongosho kazi ihamie rasmi kwa Bishanga mi najitoa hahahahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Kangosho kaenda kuta....wa aka ku.....twa akipona atarudi, msiwe na hofu
 
Halafu sijamuona The Boss, sijui kakimbilia wapi.

Itabidi unisaidie kumtafuta lol

toka alipotoka kwa bibi kusafisha nyota kawekwa kima da na theboss. katulia tuli anaona mambo yamemnyokea.
 
Last edited by a moderator:
Aisee wajameni mkimwona Kongosho mwambieni ole wake akichomoa mimba nlomgea.....

Ntambadili jinsia wallah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…