Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,684
Tutajua mbele ya safari tu....chezeya rushwa....
hahahahaha! Yaaani, yaaani....daaah!
Tutajua mbele ya safari tu....chezeya rushwa....
Ankal usiku usiku anakuwa na short sight weee sema tu haoni, na sasa ivi ashadii hayupo ndo kabisa haoni.mwambie ankal afumbe macho nikwambie ninachotaka.
Ankal usiku usiku anakuwa na short sight weee sema tu haoni, na sasa ivi ashadii hayupo ndo kabisa haoni.
Dah!...... niite ambalesi?
kama wewe
Hivi Pm zinatumwaje wajameni?ankal ana lenzi kali, usijaribu kuniPM hata siku moja.. Mijicho yake inaona hadi pm. Hivi wingi wa macho mijicho eeh?
laivu? bila chenga? khaaaa!Wala hamna haja. . . kuna mtu ameshanipepea.
mwambie ankal afumbe macho nikwambie ninachotaka.
laivu? bila chenga? khaaaa!
kumbe na mimi nimo thank you for the compliment! Kabakabana Sio GT?
Hivi Pm zinatumwaje wajameni?
wewe na GT kundi moja
naona apo umeshajua kutabiri......kidate tunakihamishia siku nyingine maana leo umeona kivuli cha osama ukakimbia. Bila sababu
laivu? bila chenga? khaaaa!
unaandika pm halafu unatuma p.o box -250 mpwapwa.
Na inaonekana anapepewa kweli kamanda manaake post moja anatumia nusu saa kujibu.Kimenuka kamanda chapa lapa tu
stamp hakuna?unaandika pm halafu unatuma p.o box -250 mpwapwa.
huu wimbo kaimba nani?Chenga kwani natumia antenna?
stamp hakuna?