Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,821
""mtoto wa masikini hapati mkopo kisa kasoma masomo ambayo hayapewi kipaumbele""
Watu tunafahamu kuwa huyo JK Nyerr na hira zae ndo wametufikisha hapa tulipo! Why tusikilize upuuzi na mwendelezo wa mambo yake mabaya. Wanaomuenzi bila shaka aliwatendea mema.... hawa ndio nyie mliomo Nkruma hall. tumeshafahamu na hatudanganyiki tena na sera zeru za nyerere!
Mtoa mada wa kwanza ni Ester Wasira

kwani anayoyasema ni uongo? We utakuwa fisadi
ehe tunataka vitendo,maneno tumechoka
Mtoa mada wa kwanza ni Ester Wasira