Kongamano kubwa la waislam Diomond Jubilee

Kongamano kubwa la waislam Diomond Jubilee

Status
Not open for further replies.
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]SERIKALI HAIJAFUTA MITITIHANI YA TAIFA YA MASOMO YA DINI
[/TD]
[TD="class: buttonheading, align: right"]| Print |
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]TAARIFA KWA UMMA
SERIKALI HAIJAFUTA MITITIHANI YA TAIFA YA MASOMO YA DINI

Serikali inapenda kuwafahamisha wananchi kuwa haijafuta Mitihani ya Taifa ya masomo ya Dini kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya Habari. Masomo hayo ni pamoja na Elimu ya Dini ya Kiislam, Bible Knowledge, Islamic Knowledge na Divinity. Masomo ya Dini yanaendelea kufundishwa shuleni na kutahiniwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA). Hata hivyo, Serikali inakusanya maoni kuhusu namna bora zaidi ya uendeshaji wa Mitihani ya Dini Imetolewa na:
KATIBU MKUU
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI 01/06/2013 MY TAKE.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
kwa mujibu wa BAKWATA. wamedai wao wamepelekewa barua ya kujulishwa Kufutwa kwa Islamic. na kudai hawakushirikishwa katika hatua hiyo na NECTA ndio maana leo wameamua kufanya kongamano. source ANNUR
 
SWALI: ITABIDI BAKWATA SIO WAKWELI WALIOSEMA KWAMBA WAMEPELEKEWA BARUA YA KUJULISHWA NA KUTAKIWA WASIWAAMBIE WAISLAM?
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

mkuu hii ishu nimeisikia asubuh hii kwenye magazeti ila ukweli hata barua wameandika na kuwapelekea wanafiki wao Bakwata kwahiyo hii ilikuwa pima upepo. Na mbaya zaidi wale wanaotengeneza mitaala ya masomo hayo hawakupewa taarifa na pia watumishi wengine wa ndani ya wizara hawana taarifa sasa Tafakari!
 
Kwa nini suala la elimu ya tanzania limekua ni la mtu binafsi kufanya maamuzi?tunahitaji ewura ktk elimu
 
Dah! Bila hilo kanusho tension ingekuwa kubwa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huu ni upuuzi uliopitiliza , kwa nini tuumizwe kufutwa kwa hiyo mitihani ya kidini kwenye mitihani ya kitaifa?Kwanza uwepo wake ilikuwa inamsaidia nini mwanafunzi kuendelea na masomo ya juu ama kupata ajira?

Kama ni kweli NECTA wamefanya hivyo nawapongeza sana kwani haikuwa ikimsaidia chochote mwanafunzi zaidi ya kumuongezea mzigo usio na lazima....Kama wapo wanaotaka kufanya mitihani ya dini zao ruksa lakini wafanye huko kwenye nyumba zao za ibada na si vinginevyo.

Ninachowaomba ndugu zangu waislamu tusiwe watu wakukurupuka na kuhamaki kwa kila kinachofanywa kwa maslahi ya umoja wetu, kufanya hivyo ni kuongeza zaidi mpasuko ulioanza kuonekana.
Elimu ya dini ni muhimu lakini ni vema tukapeana hukuhuku kwenye maeneo yetu ya ibada, wakristo makanisani mwao na waislamu misikitini mwetu ama madrasa na hata mitihani tupeane huko huko.

TUSIKUBALI KUYUMBISHWA NA WAHUNI WACHACHE KWA KISINGIZIO CHA KUPIGANIA IMANI ZETU.....TUKUMBUKE KUWA HIZI DINI TUMELETEWA TU, SISI TULIKUWEPO KABLA YAZO.

dini tumeletewa- afande sele ft belle 9

huo wako ni upuuzi na kutojitambua dini mtu anayo moyoni sio kwenye mitihani hata ikiondoshwa sawa lakini iweje lishirikishwe kanisa pekee ktk maamuzi bila upande mwengine husika
 
muhammadans bana sijui kwanini hawajiamini........popote uendapo wana mawazo ya kuonewa tu....
 
wewe jamaa una chuki na waislam sijui kwa nini aisee!

we acha tu hawa jamaa hii chuki sijui wamefundishwa somewhere sijui ile ya asili ya tangu na tangu? Hata sijui.
 
Isiwe ikawa Hojuma DHIDI ya Serekali. NECTA wanajua nchi ipo katika high tension ya mambo ya UDINI. sasa wanapoita Taasisi moja na kutoa maamuzi makubwa kama haya sijui wanalenga nini. hawa jamaa NECTA hawajifunzi tu?
 
Sick people

Mkuu, They are not sick! kama kweli NECTA ilikaa na wakristo pekee wakati kuna maamuzi yanawahusu waislam kweli si haki na ni dharau kwa waislam! NECTA wangemua bila kuwashirikisha wakrito isingekuwa tabu!
 
pengine Chadema wana Mkono mrefu sana. NECTA wanataka kuleta Vurugu . kwa mujibu wa gazeti la Annur NECTA wapelekea barua BAKWATA maamuzi yao
 
chuki iko wapi hapo hakuna somo lilifutwa @rits ingia www.moe.go.tz
unataona kanusho la wizara
wamekanusha baada ya kusikia jamaa wanajiorganise.

Kwanini hawakukanusha tangu mwanzo.?
 
kwa mujibu wa BAKWATA. wamedai wao wamepelekewa barua ya kujulishwa Kufutwa kwa Islamic. na kudai hawakushirikishwa katika hatua hiyo na NECTA ndio maana leo wameamua kufanya kongamano. source ANNUR

Haya sasa, serikali inakanusha; inaonekana BAKWATA kuna unafki flani, waiweke hapo hiyo barua, huenda hawajaielewa kwa sababu ya ukilaza!
 
haya sasa, serikali inakanusha; inaonekana bakwata kuna unafki flani, waiweke hapo hiyo barua, huenda hawajaielewa kwa sababu ya ukilaza!
mkuu barua ipo wala sio suala la umbea bakwata wenyewe wamelithitisha hilo na ndio maana leo wako hapo jubilee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom