Kongamano kubwa la waislam Diomond Jubilee

Kongamano kubwa la waislam Diomond Jubilee

Status
Not open for further replies.
We are goin to learn the hard way, tuendelee tu na udini.
 
nafikiri ni msimu wao, jana nliwaona wamejazana pale duce. mia
 
Masheikh Mbali mbali wakiwemo wa BAKWATA wapo
Agenda:
Ni kuzungumzia kitendo cha NECTA kufuta somo la dini kufanyiwa mtihani bila yakuwashirikisha waislam
Kuhusu Mambo yanayojiri sasa hivi tz.
Propaganda ya baadhi ya Vyombo vya habari kuhusu mambo yanayotokea
lipumba atakuwa mgeni. Rasim
 
Huu ni upuuzi uliopitiliza , kwa nini tuumizwe kufutwa kwa hiyo mitihani ya kidini kwenye mitihani ya kitaifa?Kwanza uwepo wake ilikuwa inamsaidia nini mwanafunzi kuendelea na masomo ya juu ama kupata ajira?

Kama ni kweli NECTA wamefanya hivyo nawapongeza sana kwani haikuwa ikimsaidia chochote mwanafunzi zaidi ya kumuongezea mzigo usio na lazima....Kama wapo wanaotaka kufanya mitihani ya dini zao ruksa lakini wafanye huko kwenye nyumba zao za ibada na si vinginevyo.

Ninachowaomba ndugu zangu waislamu tusiwe watu wakukurupuka na kuhamaki kwa kila kinachofanywa kwa maslahi ya umoja wetu, kufanya hivyo ni kuongeza zaidi mpasuko ulioanza kuonekana.
Elimu ya dini ni muhimu lakini ni vema tukapeana hukuhuku kwenye maeneo yetu ya ibada, wakristo makanisani mwao na waislamu misikitini mwetu ama madrasa na hata mitihani tupeane huko huko.

TUSIKUBALI KUYUMBISHWA NA WAHUNI WACHACHE KWA KISINGIZIO CHA KUPIGANIA IMANI ZETU.....TUKUMBUKE KUWA HIZI DINI TUMELETEWA TU, SISI TULIKUWEPO KABLA YAZO.

dini tumeletewa- afande sele ft belle 9

Mkuu,
Wewe sio MUISLAM ni Sinker thinker !
Mbona hujaongelea Somo la DIVINITY ama hujui Saints schools zooote zinazotesa kwenye matokeo ya mitihani ni kwasababu ya Somo la Divinity ??

Think Big....!!
 
kitendo cha NECTA kujadili swala hili na upande mmoja tu wadini umewashtua waislam huku NECTA wakijua waislam nao walikuwa na haki kupitisha maamuzi haya
 
nafikiri ni msimu wao, jana nliwaona wamejazana pale duce. mia

kitendo cha NECTA kujadili swala hili na upande mmoja tu wadini umewashtua waislam huku NECTA wakijua waislam nao walikuwa na haki kupitisha maamuzi haya source: ANNUR
 
421311_10200961901145648_2026969060_n.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom