Mkuu,
Wewe sio MUISLAM ni Sinker thinker !
Mbona hujaongelea Somo la DIVINITY ama hujui Saints schools zooote zinazotesa kwenye matokeo ya mitihani ni kwasababu ya Somo la Divinity ??
Think Big....!!
Mkuu, Nimemaanisha Mungu with capital M (Mungu Aliye Hai) na sio mungu with small m. Asomaye na aelewe!
Mkuu,
Wewe sio MUISLAM ni Sinker thinker !
Mbona hujaongelea Somo la DIVINITY ama hujui Saints schools zooote zinazotesa kwenye matokeo ya mitihani ni kwasababu ya Somo la Divinity ??
Think Big....!!
all the best if mna nia njema but cdhani if its a big deal coz wamefuta both islamic and divinity swala la nani hajaitwa I PERSONALLY think halina uzito ki hivyo ingekua mbaya kama wangefuta somo la Islamic af waache divinity
Kinyesi na nzi wanapokutana!
usilolijua ni sawa na usiku wa giza tatizo lenu mna'inferiority complex
Sidhani kama mungu wao atawaongoza kwenye jambo jema kama hilo....SIJUI!
wewe jamaa una chuki na waislam sijui kwa nini aisee!
wamefuta islamic tu na sio na divinity.
ndalichako JANGA KWA TAIFAKweli mfumo kristo utalisambaratisha hili taifa.Hongera Ndelichako punde na wewe utaitwa mwanaheri
ok asante kwa kunijulisha then Kawambwa itabidi aulizwewamefuta islamic tu na sio na divinity.
ok asante kwa kunijulisha then Kawambwa itabidi aulizwe
Kweli mfumo kristo utalisambaratisha hili taifa.Hongera Ndelichako punde na wewe utaitwa mwanaheri
Huu ni upuuzi uliopitiliza , kwa nini tuumizwe kufutwa kwa hiyo mitihani ya kidini kwenye mitihani ya kitaifa?Kwanza uwepo wake ilikuwa inamsaidia nini mwanafunzi kuendelea na masomo ya juu ama kupata ajira?
Kama ni kweli NECTA wamefanya hivyo nawapongeza sana kwani haikuwa ikimsaidia chochote mwanafunzi zaidi ya kumuongezea mzigo usio na lazima....Kama wapo wanaotaka kufanya mitihani ya dini zao ruksa lakini wafanye huko kwenye nyumba zao za ibada na si vinginevyo.
Ninachowaomba ndugu zangu waislamu tusiwe watu wakukurupuka na kuhamaki kwa kila kinachofanywa kwa maslahi ya umoja wetu, kufanya hivyo ni kuongeza zaidi mpasuko ulioanza kuonekana.
Elimu ya dini ni muhimu lakini ni vema tukapeana hukuhuku kwenye maeneo yetu ya ibada, wakristo makanisani mwao na waislamu misikitini mwetu ama madrasa na hata mitihani tupeane huko huko.
TUSIKUBALI KUYUMBISHWA NA WAHUNI WACHACHE KWA KISINGIZIO CHA KUPIGANIA IMANI ZETU.....TUKUMBUKE KUWA HIZI DINI TUMELETEWA TU, SISI TULIKUWEPO KABLA YAZO.
dini tumeletewa- afande sele ft belle 9