Kongamano kubwa la waislam Diomond Jubilee

Kongamano kubwa la waislam Diomond Jubilee

Status
Not open for further replies.
Sheh ilunga aliwahi kusema, uhusiano kati ya muislam na khafiri ni BUNDUKI. nami naongezea. Uhusiano na tofauti kati ya mkristo na muislam ni ELIMU DUNIA.

ah wapi...ata wasome vipi hao akili yao ni hiyo hiyo tu...prof lipumba pamoja na kusoma kooote bado ana ujinga wa kutosha kichwani...tatizo siyo elimu..ni uislamu!!!!
 
Tujadili hoja yao kwa sababu na wao ni watanzania ili tujue kama kuna ukweli ktk hoja yao dhidi ya serikali .
 
hekima na busara kaka,
Tukiheshimiana kuna tatizo??!!
Kauli chafu na ya kilaaniwa kama hiyo alafu waislamu tukureact iwe nongwa??!!
Ungetoa kauli nzuri ungebadilika wapi??!!
Kupitia wewe naiona chuki ya wakristo iliyopo myoni mwenu!!
Sina chuki na wewe ni katika kukuweka sawa tu!
kila la kheri...


Naomba usinielewe vibaya mkuu, sina chuki wala husda dhidi ya imani yako/dini yako.....Nawaheshimu sana na ninawathamini sana kama wanadamu wenzngu tena WATANZANIA wenzangu
Sisi ni ndugu moja, dini zilitukuta hapa tulipo hivyo hatupaswi kuzipa nafasi kutugawa kwa namna yoyote ile.....SAMAHANI KWA KUKUKWAZA NDUGU YANGU.

Kitu ambacho kinanikera kwa baadhi ya watu wa imani yako ni ile hali ya kuwa wepesi kuyumbishwa na propaganda mufilisi wapewazo na watu wasioitakia mema nchi yetu kwa kivuli cha KUTETEA AMA KULINDA IMANI.
Suala ama uamuzi uliofanywsa na NECTA kufuta mitihani ya kidini (kwangu mimi) ni uamuzi mwema kabisa tena lingepaswa kupongezwa, hata kama watu wa dini hawajahusishwa......HILI HALIKUPASWA KUWA AJENDA!
Lakini kuna baadhi ya watu wa imani yako wanaotaka kulifanya hili kuwa jambo la kubishaniwa.

Laiti kama TUNA ABUDU MUNGU WA KWELI basi na atutie moyo wa kuepuka malumbano yasio na tija, atutie ujasiri wa kuwakatalia hao watu wachache wanaotaka kutuvuruga, na ATUJALIE HEKIMA NA BUSARA za kuweza kuchanganua mambo kwa weledi.

UMOJA WETU KAMA TAIFA NI BORA KULIKO HIZI DINI TULIZOLETEWA!
 

Attachments

...mungu wako wewe kakuongoza kwenye lipi jema ?..............la kuoana wenyewe kwa wenyewe na kutowana mapepo ?

IMANI YANGU HAIRUHUSU MAHUSIANO YA JINSI MOJA(kwa mujibu wa kitabu changu kitakatifu), hao wanapfanya na kuhalalisha hayo WAMEPOTOKA!
 
wakomalie necta walirudishe masomo ya dini.vijana wanatakiwa wafundishwe dini ili wakue na misingi mizuri ya uchaji wa mungu.hapa kinachotakiwa ni kwadini kutayarisha mitaala yao na kuweka zaidi masomo juu ya vijana kumjua mungu,kupenda watu wote, kuwa na hofu ya mungu, kuacha kutenda mabaya, nk

acha wafute kwa sababu di ni nyingine hazifundishi upendo ,tusije tukaanza kuzalisha maghaidi from sec school level ,hii itapelekea taifa letu kuwa kama somalia
 
nafikiri ungerudia kusoma kabla ya kujibu upuuzi kikubwa hapo why? hawakushirikishwa kwenye maamuzi hayo na walipelekewa barua tu ikiwa upande mwingine walishiriki na maamuzi walitoa pamoja kuna nini hapo? haya soma tena ujibu tena usije ukawa ndio wale wa kwa kakobe mkijitia uislamu fake.

HUJANIELEWA WEWE..........KUFUTWA KWA MITIHANI YA KIDINI YA KITAIFA HALIPASWI KUWA JAMBO LA KUBISHANIWA WALA KUVUTANA.
Upande mmoja kutokushirikishwa kwenye kufikia uamuzi huo (sio sahihi) haupaswi kutumiwa kama turufu ya kuleta malumbano ikiwa tu uamuzi haulengi kumuumiza yeyote yule. Tujaribu kuwa wakomavu na waelewa ili kuipusha nchi yetu kutumbukia kwenye machafuko ya kidini.

KAMA TUNATAKA KUWAPIMA VIJANA WETU KWENYE MASUALA YA DINI/IMANI ZETU TUANDAE MITIHANI YETU HUKU HUKU KWENYE NYUMBA ZETU ZA IBADA NA SI VINGINEVYO!
 
Necta wapongezwe maana elimu ya dini ingetumiwa Kama mwanya Wa kueneza hizi chuki na chokochoko za kidini ambazo zinaendelea baina yetu watanzania.
 
Wala hatuna chuki...Tunawapa darsa/elimu maana mna vichwa vigumu mno..

Chuki mnazo sana ndani ya mioyo yenu, sijui ndivyo mnavyofundishwa mnapokuwa huko kwenye majumba yenu ya kuabudu, naona mmekosa ustaarabu kabisa.
 
wengesema chedema ?

Wakati mwingine kabla ya kuandika shirikisha ubongo wako....Hao ni viongozi wa dini ambao tunategemea kauli zao ziongozwe na busara na hekima......Tofautisha kati ya Viongozi wa siasa na Dini..?
 
Chuki mnazo sana ndani ya mioyo yenu, sijui ndivyo mnavyofundishwa mnapokuwa huko kwenye majumba yenu ya kuabudu, naona mmekosa ustaarabu kabisa.

Hivi Sheikh Ilunga zile CD zake alikuwa akiwaambia Waislamu akiwa ndani ya msikiti au nje...?
Vipi kuhusu kauli ya Prof. Ibrahimu Lipumba ya kwamba wakati wa Waislamu kiwa daraja la kwanza na uchochezi wa kidi aliutolea wapi...Chooni au Msikitini....

Nijibu hayo maswali kwanza hapo....
 
Quraan ilishasema mtawapenda makafiri na mayahudii kama rafiki zenu rafiki zenu ilaa wao wanachuki nanyinyi kubwa

Hili halihitaji reseach kwa wagalatia chuki zao kwetu ni kubwa. Na wanacho lishwa makanisani ni chuki. Upendo kwao ni geresha.

Uisilamu. Hata mdanganye nini. Hauwezi kuanguka.

Hapa ulaya makanisa yanauzwa na kuwa misikiti.

Wewe muaangalie kafi*****ri yyte. Hata kama ana digiri zimejaa chmba. Uelewa wake ni sawa na mtoto mdogo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom