Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 270
Masheikh Mbali mbali wakiwemo wa BAKWATA wapoAgenda:Ni kuzungumzia kitendo cha NECTA kufuta somo la dini kufanyiwa mtihani bila yakuwashirikisha waislam huku NECTA ikikaa na taasisi za kikiristo pekee. kwa mujibu wa BAKWATA wao walipelekewa barua tu kujulishwa na kuambiwa wasiwape taarifa hii waislam . kitendo cha NECTA kujadili swala hili na upande mmoja tu wadini umewashtua waislam huku NECTA wakijua waislam nao walikuwa na haki kupitisha maamuzi haya .Mambo yanayojiri sasa hivi tz. Propaganda ya baadhi ya Vyombo vya habari kuhusu mambo yanayotokea