kazi kweli kweli, utumbo?utumbo wa kuku?
Hapana, I have a medicine shop, the demand is high! I have none at minehazina watumiaji....
madukani..... availabilty is scarceZimeadimika wapi?
#MaendeleoHayanaChama
amenukiona hivyo jua watu wameokoka
Corona ilikuwa ni ajenda ya Freemason kuvuna idadi ya watu inaowataka kuzimu plus kushusha uchumi wa dunia Ili wapitishe ajenda zingine ikiwemo mabadiliko ya tabia za nchi. Soon awataupa tena airtime na itaishia hivyo hivyo ujio wa chanjo na kutimia kwa malengo yao awatoupa tena airtime.Muelewe!zama za kupambana na ukimwi zimeisha!sasa dunia inaelekeza nguvu kwenye corona!!!Ni kana kwamba ukimwi haupo na umedhibitiwa na ARVS na rate ya maambukizi imepungua kabisa!
No, I have a shop and the commodity is scarce! basi, the issue of kula mbususu does not arise anyway!Sasa mkuu unataka kula mbususu bila kutumia hata buku? π
Watu wamegundua HIV siyo kitu ya kutisha na wanaishi na wale wadudu kama sehemu ya mwili wao,hivyo basi mauzo yamepungua na wafanya biashara wanazipotezea maana watu sasa hv wanakulana nyama nyama ni majuzi hapa ndo madaktari wao wenyewe ukiongea nao kirafiki wanathibitisha kwamba mtu anayekunywa dawa kwa muda kitambo hawezi kumuambukiza mwingine HIV,ugonjwa biashara na hofu sasa unaishiria ukingoniNakumbuka hizi condom zilikuwa zimetapakaa kote katika sehemu za wazi kla mtu anachukua bure. Sasa hivi ni "almas" maana hazipatikani na zikipatikana ni bei kubwa..a pack of 3 per 1,000.
Kulikoni? au Kwa Msaada wa watu wa Marekani ilisitishwa? na kama ni hivyo kwanini walisitisha?
Duh!"Filimasoni" tena?πππππCorona ilikuwa ni ajenda ya Freemason kuvuna idadi ya watu inaowataka kuzimu plus kushusha uchumi wa dunia Ili wapitishe ajenda zingine ikiwemo mabadiliko ya tabia za nchi. Soon awataupa tena airtime na itaishia hivyo hivyo ujio wa chanjo na kutimia kwa malengo yao awatoupa tena airtime.
Wapo wanaoendesha duniaDuh!"Filimasoni" tena?πππππ
this could be sensible!Muelewe!zama za kupambana na ukimwi zimeisha!sasa dunia inaelekeza nguvu kwenye corona!!!Ni kana kwamba ukimwi haupo na umedhibitiwa na ARVS na rate ya maambukizi imepungua kabisa!!!