MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,040
Mzee yupo zake shamba Dodoma analima kisasa na kutoa ushauri...mtembelee kwenye shamba lake la horticulture pale Dodoma,Yuko welcoming Sana huyu senior citizen
Membe nadhani kajichimbia huko Kusini last time nimemwona hivi juzi kwenye maziko nadhani ni ya alhaj mtopa...wapo hawa wazee wamechagua kukaa kimyaDaaah Shukrani sana Mkuu,
Vipi huyu mwenzake Mzee wetu mwingine niliyemtaja anapatikana wapi ???
Membe nadhani kajichimbia huko Kusini last time nimemwona hivi juzi kwenye maziko nadhani ni ya alhaj mtopa...wapo hawa wazee wamechagua kukaa kimya
Ndo ujue kuna jambo...kimya kingi kina mshindo wanasemaAnafanya biashara ya Mafuta au Gesi huko makwao ??, Kwanini ajichimbie wakati siyo kawaida yake yule jamaa aisee!
Kwanini hawa jamaa wasiende hata kufundisha pale Mlimani mbona wanaweza kufanya hizo kazi ??? Tena wana uelewa mkubwa sana kuhusu dunia kuliko hata walimu wa pale.Ndo ujue kuna jambo...kimya kingi kina mshindo wanasema
Nadhani tofauti kubwa ya kipato ndiyo hasa inasababisha wanasiasa wakistaafu wasirudie tena white board...nafahamu Prof Msola amevumilia akarudi Ila wabobevu kv kina mwandosya, & co wamekacha... tofauti ya kipato nahisi inawasuta wanaona Bora wale mafao Tu...sanasana hapo wanakuwa na ndoto za kurudi tena kwenye siasa wanasubiri upepo utulieKwanini hawa jamaa wasiende hata kufundisha pale Mlimani mbona wanaweza kufanya hizo kazi ??? Tena wana uelewa mkubwa sana kuhusu dunia kuliko hata walimu wa pale.
Nadhani tofauti kubwa ya kipato ndiyo hasa inasababisha wanasiasa wakistaafu wasirudie tena white board...nafahamu Prof Msola amevumilia akarudi Ila wabobevu kv kina mwandosya, & co wamekacha... tofauti ya kipato nahisi inawasuta wanaona Bora wale mafao Tu...sanasana hapo wanakuwa na ndoto za kurudi tena kwenye siasa wanasubiri upepo utulie
Professor Mwandosya anaendelea kufundisha kama kawaida ila makaazi yake kwa sasa hivi muda mwungi huwa huki Kijijini kwake, Lufilyo, Tukuyu .Nadhani tofauti kubwa ya kipato ndiyo hasa inasababisha wanasiasa wakistaafu wasirudie tena white board...nafahamu Prof Msola amevumilia akarudi Ila wabobevu kv kina mwandosya, & co wamekacha... tofauti ya kipato nahisi inawasuta wanaona Bora wale mafao Tu...sanasana hapo wanakuwa na ndoto za kurudi tena kwenye siasa wanasubiri upepo utulie
Bado analima Dodoma ???Mzee yupo zake shamba Dodoma analima kisasa na kutoa ushauri...mtembelee kwenye shamba lake la horticulture pale Dodoma,Yuko welcoming Sana huyu senior citizen
Aisee Comredi Dada Salam toka Chimwaga.Sawa Malcom [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]