kombe la muungano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Baada ya kombe la Muungano Simba atatwaa kombe lipi?

    Je, kuna uwezekano wa Simba kutwaa kombe lingine zaidi ya hili la muungano? Kama upo, niambie ni lipi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simba 3-0 Mlandege | New Amani Zanzibar Kombe la Muungano | 26 Aprili 2026. Fainali ni Simba vs Yanga

    Mnyama anaunguruma Zanzibar, Dabi ipo pale pale hakuna kukimbia Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 inatarajiwa kuzikutanisha Yanga dhidi ya Simba, hiyo ni baada ya Simba kuitafuna Mlandege Magoli 3 -0 kwenye Nusu Fainali iliyopigwa Uwanja wa Amaan, Aprili 26, 2026. Fainali hiyo inatarajiwa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Full Time: JKU 0 - 1 Yanga SC | Fainali Kombe la Muungano | Mei 1, 2025 | Yanga Bingwa

    JKU VS Yanga SC | Fainali Kombe la Muungano | Mei 1, 2025 Mchezo unaendelea Goooooooooooooo! Max Mpia anawapatia goli la kwanza Yanga Yanga anakuwa bingwa wa kombe la Muungano 2025 Go
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Sioni kama Yanga itakosa ubingwa kombe la muungano

    Sioni kama kuna team ya kuwazuia mabibwa wa kihistoria. Team yenye kikosi kikali, kipana na cha kutisha. Nipigwe bani mirere kwa kweli ikitokea Yanga ikakosa hili kombe. Sioni ikilikosa. Sioni hata kwa mbali. Asilimia 100 kikosi kipo tayari na mazingira yamejengwa vizuri uwanja umeandaliwa kwa...
  5. MO11

    JamiiForums Tanzania Updates fainali ya kukata na mundu kombe la muungano

    Leo ndio leo Baada ya kuona kimya nikaona isiwe vibaya nianzishe Leo mechi itakuwa uwanja wa bwawani sijui gombani Kati ya timu tishio duniani ya dae es Salaam young afrika aka nyuma mwiko na timu tishio ukatanda wa afrika mashariki ya pwani na visiwani kote Jku Mechi itakuwa ngumu sana hasa...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwetu Yanga fainali Muungano Cup. Tunaenda beba Kombe la Muungano kibabe

    Haikuwa rahisi. Hatimaye tumeingia Fainali Kombe la Muungano. Match ilikuwa ngumu na kuamuliwa kwa penalty. Tunaenda kuwekeza nguvu kwenye kulibeba kombe wallah...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Full Time: Zimamoto FC 1 - 1 Yanga SC (Pen:1-3) | Nusu fainali kombe la Muungano | Aprili 29, 2025

    Zimamoto FC 0 - 1 Yanga SC | Nusu fainali kombe la Muungano | Aprili 29, 2025 #MuunganoCup2025: Wananchi wametinga fainali kwa mikwaju ya penati 3-1 FT’: Zimamoto 1-1 Yanga SC (Pen:1-3)
  8. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kombe la Muungano na maelekezo maalumu

    Ni mawazo yangu kwamba kombe la muungano,lina maelekezo maalumu kwamba ni lazima timu za zanzibar zishinde kombe hilo.Hata leo mtaona yanga inatolewa.
  9. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Mwenye update kuhusu nusu final ya kombe la muungano tafadhari

    Wakuu kama mnavyojua Kuna kombe la kukata na shoka huko zenji Sasa update za nusu final naona bodi ya ligi hawatoi naomba kujua inafanyika lini kwa Azam vs KMK na Yanga vs Jku !?
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Full Time: KVZ FC 0 - 2 Yanga SC | Robo Fainali ya Kombe la Muungano | Aprili 26, 2025

    KVZ FC 0 - 0 Yanga SC | Robo Fainali ya Kombe la Muungano | Aprili 26, 2025
Back
Top Bottom