Kombe la Dunia la FIFA 2026

Kombe la Dunia la FIFA 2026

FIFA rankings US ipo nafasi ya 15 Iran ipo nafasi ya 20 hapo underdog ni nani?

Jana Iran kachezea kichapo kwa Nigeria unasemaje hapo
unajua shida yako ni moja tu unataka kunilazimisha niwaze kama unavyowaza wewe acha mihemko,

wenye akili waliwaza itakuaje iran na usa wakikutana?kitakatokea nini, hii mechi inaleta msisimuko ni kwasababu ya hali ya vita ya kimasilai na siasa kati yao ndiyo maana kila mtu amewaza hivyo wewe unaleta rank zako,nani asiejua US wapo vizuri ila anything can happened,,sasa wewe umekazania na rank upo serious kweli hujui hata unachochangia ,sio kila kitu unatumia takwimu kuna vitu vingine hisia tu inakuongoza fresh tu wewe umebaki kwenye takwimu mbona ingekua hivyo wacheza kamari wangekua wanakula kila siku mikeka kama takwimu pekee na historia inaweza kukupa matokeo,tumeona timu kubwa duniani zinafungwa na timu ndogo kabisa,acha kujifanya una akili
 
Back
Top Bottom