Kokorikoooooo

Kokorikoooooo

Vijana wa siku hizi wapo below the standard.

Kwa ushahidi zaidi muone Zahra White.
 
Last edited by a moderator:
Boflo, hii ina uhusiano na performance ya mwanaume kitandani? Au sababu ya takwimu hizi ni nini? Kuna hoja zinaendelea mabinti wa siku hizi wanalalamika nyie vijana mnashindwa kuwafikisha mpaka warudi kwetu sisi wazee, ukimuuliza Zahra White anaweza kukueleza vizuri zaidi adha wanazopata kwa vijana wa sasa.

Ninachojaribu kufikiria ni wale wasiofikia takwimu hizo wanaweza kupata matibabu na kwa njia gani ili mabinti wasiendelee kulalamika kwa kushindwa kupata huduma bora?

HorsePower my Zahra White anaingiaje kwenye huu mjadala? Nime maind ujue!
 
Last edited by a moderator:
Wagonjwa..mkapimwe..mie huwa ni kwa wiki....ila msimamo mmoja huwa ni mkali kinoma....mpaka kimwagiwe maji...tena ya uvuguvugu...kitulie...
 
Last edited by a moderator:
Mie jamani mbona nikishapata kwa shemeji yenu asubuhi ndo no erection mpaka nirudi hom usiku..? Au shemeji kaniendea kinyume..?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom