Tetesi: Koko Beach nayo ishauzwa?

Aisee niliwahi kujiuliza kwa nini sisi maeneo ya fukwe hatufanyi kama wenzetu ni maeneo ya wananchi majengo yanajengwa baada ya bara bara huko ufukweni watu wanaweza kufanya mazoezi umbali mrefu kwenye mchanga au vitofari..
Katika Beach ambayo nlibahatika kwenda,kula burdan na huwa siisahau ni copacabana,Brazil alafu ile ni free beach tu na watu wamefanya uwekezaji kimpangilio
Beach za Durban si umeziona nazo kuna ile Golden sand ๐Ÿ˜„
Mambo ya ushaka Beach

Hawa viongozi wetu watembe wakajifunze wapate idea

Ova
 
Sana angalau sisi tumeifaidi watoto wetu sasa
Maana hapa patajaa restaurants,ukingia unakutana front office lipia uingie

Ova
Kama walivyomchomoa ndugu yetu Alphonce hapo coco kwemye kitimoto akachukua mama AK na kufungua Bravo Coco kuingia lazima uache 30,000 mlangoni.
 
Hadi watanzania wapumbavu watakapojua maana ya azimio la arusha..
Madhara ya wageni kutawala nchi yetu ndiyo haya ..
 
Nikiwa mteule wenu nitarudisha kila kilichoporwa kwa wananchi wa Tanganyika ,ikiwa ni pamoja na kurudisha ardhi kuwa mali ya wananchi,na zenji kuwa mkoa
 
Nikiwa mteule wenu nitarudisha kila kilichoporwa kwa wananchi wa Tanganyika ,ikiwa ni pamoja na kurudisha ardhi kuwa mali ya wananchi,na zenji kuwa mkoa
Malizia kwa kuomba kura sasa๐Ÿ˜€
 
Konyagi ndogo 15,000
Miaka kadhaa nko mjini
Nliitwa na Mshuwa mmoja
Akaniambia tukutane hi spirit lounge..mkabala na ATC house kuingia kucheck menu nkaona konyagi kubw inaenda 40+ elfu
Nkasema msinitanie,nkashuka chini
Nkaenda kchkua zinga langu nkapanda nalo juu
Ilikuwa utata sana,yule mshuwa na heshima zake town na pale basi mpk leo akikumbuk lile tukio anasema wee kichwa chako unakijuwa mwenyewe ๐Ÿ˜„
KKonyag 10000 ukaniuzie 40+ mzinga haiwezekani

Ova
 
Hahahaha๐Ÿ˜‚
 
IT Plaza Roof top napakumbuka. Tumeenda sana hapo. Hivi bado ina bang? Nikipita hapo chini naona warembo wa casino wamezagaazagaa
 
Hawachelewi Kuunda Tume Na Ziara Za Viongozi Mbalimbali Wakijifanya Wanawatetea Wananchi Huku Wakijifanya Hawajui Kinachoendelea,,Mbona Wananchi Kelele Siku Mobile Tu Baada Ya Hapo Tumesahau....Na Hatimaye Jambo Lao Linafanikiwa Kiulaini...Wanatengeneza Tatizo Wanaigiza Kulitatua,,Na Hatimaye Wanakamilisha Malengo Yao....
 
Hahaha ume nikumbusha Chai na half cake 2 elfu 14, nika mwambia mwenyeji tusepe.

Chai na vitumbua 10, 4000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ