nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
Irudi ili pato la serikali liongezeke.....lol.
naua mtu!!nikikumbuka wazee wetu wakishinda milimani..........
Irudi ili pato la serikali liongezeke.....lol.
Hahahaah!! Ilikuwa ni udhalilishaji wa hali ya juu wazee walikuwa wananyanyaswa sana na mgambo enzi hizo..naua mtu!!nikikumbuka wazee wetu wakishinda milimani..........
..mie nafkiri kodi ya tumbo inge sound zaid.. si ajua ndo kila kitu
kodi ya tumbo?
cheap idea hizi mkuu, kama serikali isingezikabidhi resources zote kwa makampuni ya kigeni na kufanya effective utilization of resources mi nadhani kusingekuwa na hata kodi ya sigara wala pombe licha ya kichwa unayoiwadhia, mi nadhani tunaweza kuwa kila siku tunasema raisi dhaifu bila kuangalia huu udhaifu umeanzia kwetu wananchi kumdekeza huyu raisi wetu dhaifu. Ni hayo tu mkuu
..mie nafkiri kodi ya tumbo inge sound zaid.. si ajua ndo kila kitu
Mimi sijui watu wengine wanafikiria kwa kutumia kitu gani. Kodi ya kichwa iliwahi kuleta maendeeo gani Tanzania? ...na huyo raisi unayesema anahangaika kututafutia misaada , ni misaada ipi hiyo ? Misaada aliyopewa hapa ya vyandarua vya mmbu, ndio misaada watanzania wanayoitaka? . Trilioni 11.3 zimeibiwa au kutumiwa vibaya na wafanyakazi wa serikali, wewe badala kuhoji hilo na hatua zilizochukuliwa, unataka watu wetu masikini ,fukara wa kutupwa waendelee kukamuliwa. Fikiri kabla ya kupost kitu hapa.cheap idea hizi mkuu, kama serikali isingezikabidhi resources zote kwa makampuni ya kigeni na kufanya effective utilization of resources mi nadhani kusingekuwa na hata kodi ya sigara wala pombe licha ya kichwa unayoiwadhia, mi nadhani tunaweza kuwa kila siku tunasema raisi dhaifu bila kuangalia huu udhaifu umeanzia kwetu wananchi kumdekeza huyu raisi wetu dhaifu. Ni hayo tu mkuu
Duh! JF can never be boring! Nimecheka hadi majirani wameamka!..mie nafkiri kodi ya tumbo inge sound zaid.. si ajua ndo kila kitu
Ili kukabiliana na aibu ya rais wetu kuzunguka kwenye mataifa za watesi wetu kuomba omba na pia kuiwezesha serikali yetu kukusanya mapato ya kutosha kwa ajili ya shughuli za maendeleo ni kwanini serikali isirudishe kodi ya kichwa kwa kila mwananchi kuanzia at most miaka 25?
hivi wewe umeshawahi kusikia kuwa huku nyuma hii kodi ilikuwepo? Na kama unajua, je umeshawahi kufanya analysis yoyote kujua ni nini kilifanya wakaifuta au ikaondolewa? Ukishakuja na jibu sahihi ya swali hili naweza kuja na hoja kukufafanulia kwa nini nakwambia umeleta hoja dhaifu kama hii kwa wakati kama huuKwa taarifa yako, madhara ya watanzania kutokulipa kodi ni makubwa kulinganisha na madhara ya makampuni kutokulipa kodi, unapokuwa na wananchi ambao hawalipi kodi maana yake ni kwamba wananchi hao wanakuwa hawana interest ya kuidai serikali yao uwajibikaji.Na ndio maana napendekeza kodi ya kichwa, natambua kila mwananchi analipa VAT, lakini kodi hii ni indirect na haina nguvu ya kutriger wananchi kuhoji matumizi ya kodi zao.Hata tukisitisha uchimbaji wa madini nchini mwetu leo, lakini tukawa na serikali inayowajibika kwa wananchi tunaweza kupiga hatua kubwa sana kimaendeleo.