Ilikuwa ni shida no money to pay tax no enjoying freedom. baskeli kodi, mbuzi kodi, wewe mwenyewe kodi yaani ilikuwa ilikuwa hakuna namna ni lazima ulipe kodi.Aisee! Mama yangu alikuwa mwalimu basi akawa anamiliki baiskeli aina ya swala. Walikuwa wanakamata baiskeli wanataka kipande. Ilikuwa nouma
Nimewahi pia kutafakari jambo hili ikiwa kweli tumedhamiria kukusanya kodi kwa lengo la kupata maendeleo ya kweli.Natazama unafuu kwa wazazi kutolipia ada mashuleni,sasa walau tulipe kodi ya kichwa hii itasukuma haraka maendeleoMh raisi wetu mpendwa rudisha hii kodi . Kuna uzembe sana katika jamii , haiwezekani vijana tena nguvukazi ya taifa asubuhi saa mbili anakunywa pombe , asubuhi watu wanacheza pool. Ukirudisha hii kodi watu watalazimika kufanya kazi. Mfano ukiweka 30,0000 kwa mwaka (kila mwezi 1000) taifa litakuwa limepata bilioni 600.
Hapo kwenye red ndio ngapi ..... Hivi kwa akili yako unavyoona wewe jamii yooooooooote inafanya kazi muda unaofanyakazi wewe ....... hujui kuwa kuna watu wapo zamu, walinzi,wasanii,madalali (wa kitaa) watu wa kubeti (kumbuka imehalalishwa) ????Mh raisi wetu mpendwa rudisha hii kodi . Kuna uzembe sana katika jamii , haiwezekani vijana tena nguvukazi ya taifa asubuhi saa mbili anakunywa pombe , asubuhi watu wanacheza pool. Ukirudisha hii kodi watu watalazimika kufanya kazi. Mfano ukiweka 30,0000 kwa mwaka (kila mwezi 1000) taifa litakuwa limepata bilioni 600.
umepata ajira unaleta uharo wako huku nani kasema hakuna headtaxHii kodi ni muhimu sana
Hahahaha na vile vichwa empty vinavyowaza madudu vilipiwe bei gani?Mh raisi wetu mpendwa rudisha hii kodi . Kuna uzembe sana katika jamii , haiwezekani vijana tena nguvukazi ya taifa asubuhi saa mbili anakunywa pombe , asubuhi watu wanacheza pool. Ukirudisha hii kodi watu watalazimika kufanya kazi. Mfano ukiweka 30,0000 kwa mwaka (kila mwezi 1000) taifa litakuwa limepata bilioni 600.