Kocha Florent Ibenge umefanya kosa kubwa sana na la Kiufundi kuja Kufundisha Soka Tanzania ambayo Ligi Kuu yake ina Makandokando mengi yasiyoelezeka

Kocha Florent Ibenge umefanya kosa kubwa sana na la Kiufundi kuja Kufundisha Soka Tanzania ambayo Ligi Kuu yake ina Makandokando mengi yasiyoelezeka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,006
Reaction score
126,388
Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na Umekosea sana kuja Kufundisha Soka Tanzania.
 
Nafikiri haikuwa wakati SAHIHI ibenge KUJA bongo, SAWA ANAWEZA FANYA VIZURI, ila kwa kujipanga hasa NJE ndani. Figisu ni nyingi. Ataondoka mwenyewe tu kama chibonge WA simba aliesingizia ana mgonjwa. Bongo bado hatujajitambua

Full stop, kwishaaaa
Nimeona comments za kumkejeli Ibenge baada ya mechi ya kirafiki Azam FC kufungwa 2-1 na JKT. TZ hadi mechi za kirafiki Wadau wanakaza fuvu
 
Nimeona comments za kumkejeli Ibenge baada ya mechi ya kirafiki Azam FC kufungwa 2-1 na JKT. TZ hadi mechi za kirafiki Wadau wanakaza fuvu
Mkuu ndo shida ya ustar ilipo, ibenge akizubaa watu watamtoa kwenye reli na atapanic sana. Azam IPO kifamilia pia, hivo ibenge KUPATA WATU wakumkingia kifua ni NGUMU SABABU wanafamilia hawawezi kosana KISA MTU WA nje. Hivo apambane hasa

Full stop, kwishaaaaa
 
Ibenge yupo kimataifa zaidi
Kama ligi ya congo inaendeshwa kama ndondo cup na alifanikiwa sembuse hii ligi?
 
Nafikiri haikuwa wakati SAHIHI ibenge KUJA bongo, SAWA ANAWEZA FANYA VIZURI, ila kwa kujipanga hasa NJE ndani. Figisu ni nyingi. Ataondoka mwenyewe tu kama chibonge WA simba aliesingizia ana mgonjwa. Bongo bado hatujajitambua

Full stop, kwishaaaa
Hilo sio utetezi wa Azam kushindwa kufanya vizuri chini ya Ibenge, kama mpira wa bongo figisu na michezo michafu mingi inayofanywa na Simba na Yanga basi akafanye vizuri kwenye kombe la shirikisho CAF hata kwa kucheza robo fainali.
 
HAPO sina shaka nae KWENYE mechi za kimataifa atafanya VIZURI HIZI sajili za mwisho zime fufua matumaini SANA kwa ibenge KAZI ni KWAKE TU SEMA Aishi MANULA ajipange hasa yule kipa aliesajiliwa ni balaaa zitooooo

Full stop, kwishaaaaaaa
 
Azam kutofanya vizuri kwa asilimia 80 ni mazingira ya ndani kwao wenyewe kutokujitambua. Hiyo 20 ndo inaweza kuwa sababu za nje ya Azam. Kujiulize kipindi wanashinda ligi kuu simba na yanga walikuwa hawapo au waliacha kufanya michezo yao ya nje ya uwanja?
Kama una kikosi bora na wachezaji wanajituma kupambania timu watafanikiwa tu regardless.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom