Knock..knock..hodiii

Knock..knock..hodiii

Blaque

Senior Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
127
Reaction score
105
Waungwana wa JF salaama? Kwa heshma na taadhima naomba mnifungulie mlango ndani nipate kuingia ili nipate uhondo wa Jf ...please let me in
 
You are welcome Blaque. Feel free to express yourself, lakini zingatia kanuni.
 
Pole mbona umechelewa ulikuwa wapi kaa haraka usipitwe na uhondo umemuona asprin na lizzy?wa kupatie kinywaji
 
Ahsante saana,sheria muhimu nazingatia na ntazingatia
 
Karibu, PJ atakuanikia sheria punde.
 
Kwa hekma na taathima karibu humu jamvini kuwa huru ila zingatia kanuni na sheria za uwanjaa huu!!
 
Back
Top Bottom