Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,837
- 50,530
kwamba kkkt waskize porojo, mihemko, wivu, chuki binafsi na makasiriko yako nonsense, right?🐒Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) ni chombo kinachosimamia maslahi ya waislamu Tanzania lakini lisilokubalika na baadhi ya kizazi kipya cha waislamu.
Vijana wengi wa kiislamu hulishutumu Baraza hilo kutumiwa kisiasa kufanikisha maslahi ya CCM.
Miaka ya hivi Karibuni BAKWATA walibadili mfumo wao wa kupata masheikh wa mikoa kutoka masheikh wa kuchaguliwa na waislamu wa mkoa husika hadi masheikh wa kuteuliwa toka makao Mkuu ya BAKWATA.
Mfumo huo mpya ambao umelipa mamlaka Baraza la maulamaa kuteua masheikh wa mikoa, umeleta hofu na sintofahamu.
Kanisa la Kilutheri la Kiinjili Tanzania (KKKT) na lenyewe liko kwenye harakati za kubadili Katiba ya kanisa hilo kumpa mamlaka Mkuu wa kanisa mamlaka ya kuhamisha na kuteua Maaskofu.
Nasikitika kuwaambia KKKT mpango wa kubadili Katiba yao na kumpa mamlaka Mkuu wa kanisa kuteua na kuhamisha Maaskofu, umekaa kisiasa zaidi na utawagharimu.
Siku Katiba hiyo ikipitishwa, ndiyo KKKT itaanza kutumiwa kisiasa na CCM. Hivi Maaskofu wenye fikra huru kama Bagonza watasalimika kweli?
Sasa wewe huna dini haya mambo utayajuaje?kwamba kkkt waskize porojo, mihemko, wivu, chuki binafsi na makasiriko yako nonsense, right?🐒
Yaani hatari na nusu... Hayo mapendekezo ni ya kishetani kabisa.Kwa Malasusa anaejali tumbo na ustawi binafsi juu ya kanisa,lazima iwe tawi la CCM.
🤣🤣🤣 Makobaz kwa pishori Bora uwaueWakristo wengi wanajitambua na hata wakikosea n wepesi kurudi kwenye mstari, sio kama makobaz wanawaza wali tuu
Kwani Bishop malasusa ni CCMKwa Malasusa anaejali tumbo na ustawi binafsi juu ya kanisa,lazima iwe tawi la CCM.
hiyo dini ya kuskiza na kuzingatia hizo porojo zako useless kama hizo itakua labda ya kipagani 🤣Sasa wewe huna dini haya mambo utayajuaje?
Kipagani siyo dini wewe... Huko Lumumba mnasomea ujinga?hiyo dini ya kuskiza na kuzingatia hizo porojo zako useless kama hizo itakua labda ya kipagani 🤣
Unatania bila ya shaka!Kwani Bishop malasusa ni CCM
anyway hizo porojo labda dhehebu la kipagani ndio wataelewa 🐒Kipagani siyo dini wewe... Huko Lumumba mnasomea ujinga?
Sisapoti hata kidogo wanachotaka kufanya kkkt, lkn kuhusu Yesu unaonekana hujui lolote, ila nitakusaidia mkuu.TENA ukimpa Malasusa Mamlaka kama hayo ambaye anasema hakulelewa kupingana na Serikali wakati Yesu alikua anapinga Serikali enzi zake sasa unashindwa kuelewa hizi dini !! iweje Yesu alikua anafanya harakati kufundisha watu na mitume hadi akahukumiwa kuuwawa leo hii hawa wetu wanasema harakati ni ugaidi kumbe Yesu angeibuka leo bado wangemnyonga vile vile mana alianza yeye harakati kupinga uonevu kupinga kila jambo baya....
Malasusa hamna kitu palee KKKT tumepigwa kitu kizito.TENA ukimpa Malasusa Mamlaka kama hayo ambaye anasema hakulelewa kupingana na Serikali wakati Yesu alikua anapinga Serikali enzi zake sasa unashindwa kuelewa hizi dini !! iweje Yesu alikua anafanya harakati kufundisha watu na mitume hadi akahukumiwa kuuwawa leo hii hawa wetu wanasema harakati ni ugaidi kumbe Yesu angeibuka leo bado wangemnyonga vile vile mana alianza yeye harakati kupinga uonevu kupinga kila jambo baya....
Ndondocha la Abdulkwamba kkkt waskize porojo, mihemko, wivu, chuki binafsi na makasiriko yako nonsense, right?🐒
Siyo kwamba wameshageuzwa BAKWATA? Si ndiyo askofu wao mkuu juzi alimtunuku Samia sijui nini, yule baba mjasiriamali anayejali tumbo lake tu? Ksema kweli mimi nanona yuko Bagonza tu mwenye msimamo, wengi ni chawa.Yaani hatari na nusu... Hayo mapendekezo ni ya kishetani kabisa.